ng'adi lawi
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 2,956
- 1,116
Hakuna kitu kinachonisikitisha kama kuanika matokeo ya mtu for the public to see kama Baraza la Mitihani wanavyofanya. Hivi hawa wazee wetu walioko huko NECTA na serikalini kwa ujumla hawajapitia pitia kidogo shule za nchi nyingine waelewe concept za academic privacy jamani, wakoje hawa watu?
Unaficha ili uibe cheti cha mtu mwingine? Siyo kila kitu tujilinganishe na nchi nyingine. Nchi nyingine wanatangaza mishahara ya watumishi wa umma sisi tunaificha.!!!!!!!