Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Huenda ali receit aka clear credit zake kisha akasonga Mbele. Au alianza Mdogo mdogo Certificate kisha Diploma. Hiyo inawezakana wajamani kwa wale wanao unga unga. Mwisho wa siku wengi wao hufanikiwa kupata hata Masters/PhD
Kamaliza form 4 2011 , 2012- certificate, 2013-2014-diploma, 2015- mwaka wa kwanza, 2016- mwaka wa pili , yupo sahihi chuo
 
View attachment 353228

St Mathew Secondary School
S1071/0102
F
JESCA JOHN MAGUFULI
30
IV
CIV-D HIST-D GEO-D KISW-F ENGL-C B/MATH-F COMM-F


============

View attachment 353229

Hayo ni matokeo yake na sasa hivi anasoma UDOM

Kama vielelezo hivyo vina ukweli basi JPM anastahili kupongezwa kwa kusimamia haki na ubora wa elimu, kiasi cha kutumbua majipu hata ya kwenye kwapa za yake wa damu!! Wengine km wa kule mtaa wa 'viongozi vivuli' wasingekuwa na uthubutu huo!!
 
MAGUFULI TAYAR I AMESHAACHAFUA IMAGE YA UDOM!!!
 
Huyu mtoto inadaiwa kuwa hayo matokeo aliyopata baba yake alipiga sana na ikaleta mgogoro mkubwa kwenye family! Baada ya hapo nadhani ujanjaujanja ukafanyika hadi "KILAZA" akatumia resource za wanaostahili kupata akapewa yeye!!

Ha ha ha! Kweli nyani haoni kundule.
 
Kama vielelezo hivyo vina ukweli basi JPM anastahili kupongezwa kwa kusimamia haki na ubora wa elimu, kiasi cha kutumbua majipu hata ya kwenye kwapa za yake wa damu!! Wengine km wa kule mtaa wa 'viongozi vivuli' wasingekuwa na uthubutu huo!!

Kama mtoto mwenye hayo matokeo ni wake, basi fair play JPM
 
Ndugu umekurupuka mbayaaaaa....soma mada upya hapa, hakuna asiyejua ulichoandika bali tatizo mwanafunzi aliyemaliza form four 2011 akafeli kisha kuingia degree 2014 haiwezekani kabisa labda angekunja kwa kurisiti kisha asome form 5-6 kwa mwaka mmoja hapo sawa ila kupitia NACTE means ana diploma jiulize na akili zako kwa miaka hiyo inawezekana??? Angekuwa kamaliza form four 2010 akafeli hapo ingewezekana kwani angepiga certificate na diploma miaka mitatu na 2014 angeingia degree lakini kwa 2011 ni ngumu kabisa
Kwa hiyo unataka sema kuwa Janet ni JIIIIPU
 
Huo mnaoueneza ni uongo ,DV 4 kwa mtu mwenye D 3 na C moja unakwenda chuo kikuu bila kupingwa ,unafuata hatua zifuatazo unakwenda certificate mwaka mmoj Then unaingia diploma miaka miwili,ukitoka unakwenda kusoma degree,Au option nyingine unaweza kwenda ualimu grade one,then unakwenda diploma,then degree...Tatizo kabla hamjatoa hoja chambua kwanza ndugu
Umetoa ufafanuzi mzuri ila shida ni kwamba yeye yupo mwaka WA pili ambapo kihesabu haiji kwa mtu aliyemaliza form four 2011 na kupitia certificate na diploma kwa miaka mitatu, kiuhalisia ilitakiwa awe mwaka WA kwanza

Taifa la vilaza [emoji23][emoji23]
 
Jaman muacheni mtoto wa watu amalizie chuo kikuu mnaweza mkasababisha akajinyonga
 
Tatizo ni sasa hivi yuko mwaka wa pili badala ya kua mwaka wa kwanza.Angeanzia Cheti sasa hivi ndio angekua mwaka wa kwanza.
2011- form 4
2012-certificate
2013-2014 diploma
2015-mwaka wa kwanza
2016-mwaka wa pili
Mtoto yupo sahihi tuache majungu
 
Back
Top Bottom