Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Wananunua mitihani! wengi wao wakienda A-level kwenye shule za kawaida huwa wanafeli sana!
Huwa wanafeli sana????na wa kutoka shule za kata je???weka mfano halisi hapa sio maneno tu!
 
hii thread isijefungwa sijatia neno

kwa CCM kila kitu kinawezekana, mbona ndalichako alimpa magu PHD Then Magu Kampa ndalichako wizara ya elimu.

Hii inaitwa kampa kampatena kampa kampa teena
 
SWALI: John Magufuli ni MMOJA TU hapa Tanzania!??
 
Kupata div iv sio ndo unakua kilaza,, hamkumuelewa magufuli, unaweza ukawa na iv ya 30 ila ukaanza certificate ukapita diploma then bachelor na ukatusua fresh tu
 
"Kikwete umeniachia mizigo" mmoja wa mzigo ni huyu mwanafunzi.....fadhila mfadhili mbuzi.....binadamu atakutusi,pole sana JK kwa kumfadhili mwana wa mwenzio,ulichoambulia ni matusi
Unaambiwa malipo duan kwa mung esabu [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350]
 
2011- form 4
2012-certificate
2013-2014 diploma
2015-mwaka wa kwanza
2016-mwaka wa pili
Mtoto yupo sahihi tuache majungu
Bila Shaka wewe hesabu ulipiga mswaki la sivyo shule hujagusa...hesabu zinaenda hivyo???
Uhalisia ni hivi
2012 February tokeo linatoka akalamba four akakimbilia certificate mwaka huo hivyo basi akamaliza certificate yake 2013
Akaona aunganishe diploma hivyo 2013 huo akaunga diploma mwaka wa kwanza mpaka 2014 akamaliza mwaka wa kwanza wa diploma akaingia mwaka wa pili
Hivyo mwaka 2015 akamaliza mwaka wa mwisho diploma hivyo akaona isiwe taabu akaunga degree mwaka 2015 October ambapo mwaka huu mwezi huu ndio angepaswa kuwa semester ya pili mwaka wa kwanza...
Tatizo lipo kwamba yupo mwaka wa pili means amefikafikaje hapo hiyo ndio mada mkuu na pole kwa kukutusi
 
Matokeo 2011 february
 
Matokeo 2011 february
Ulishawahi kuona mtu matokeo yanatoka kabla hajafanya mtihani??? Amefanya mtihani October 2011 matokeo yatatoka vipi February 2011?? Hayo ya February 2011 ni kwa waliofanya mitihani yao 2010
 
Ulishawahi kuona mtu matokeo yanatoka kabla hajafanya mtihani??? Amefanya mtihani October 2011 matokeo yatatoka vipi February 2011?? Hayo ya February 2011 ni kwa waliofanya mitihani yao 2010
Duh nimekubali kama ndio ivyo ila uba uhakika yupo mwaka wa pili?
 
Kupata div iv sio ndo unakua kilaza,, hamkumuelewa magufuli, unaweza ukawa na iv ya 30 ila ukaanza certificate ukapita diploma then bachelor na ukatusua fresh tu
Yeye alisema ni vilaza usimlishe maneno mtukufu rais.
 
Duh nimekubali kama ndio ivyo ila uba uhakika yupo mwaka wa pili?
Pitia comments za juu kuna documents za matokeo yake ya form four na UDOM kuashiria yupo chuo pale na Sasa hivi yupo mwaka wa pili...wapo waliotoa ushahidi kuwa yupo pale kweli...
 
MAGUFULI MUOGOPE MUNGU NA UMTOE JESCA CHUONI! KUMBUKA MWANAO KILAZA AMEZBA NAFASI YA MTOTO WA MASIKINI MWENYE QUALIFICATIONS; KUMBUKA MUNGU WA KWELI ANAKUONA ; WANA WA WENZAKO UNAWAITA VILAZA WAKATI BINTI YAKO UNAMPENYEZA CHUONI KWA KUTUMIA NAFASI YAKO
 
Matokeo 2011 february
Matokeo yalitoka 2012 Februari 8 hivyo chuo angelianza mwezi wa 9, 2012 mpaka 2013 baada ya hapo diploma miaka 2 ambayo angehitimu mwaka 2015 ajiunge chuo kikuu mwaka 2015 sasa hivi alipaswa awe mwaka wa kwanza lakini yupo wa pili.
 
Back
Top Bottom