Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 11,587
- 14,371
Kwani wewe ndio umemuelewaKupata div iv sio ndo unakua kilaza,, hamkumuelewa magufuli, unaweza ukawa na iv ya 30 ila ukaanza certificate ukapita diploma then bachelor na ukatusua fresh tu
Kwani wewe ndio umemuelewaKupata div iv sio ndo unakua kilaza,, hamkumuelewa magufuli, unaweza ukawa na iv ya 30 ila ukaanza certificate ukapita diploma then bachelor na ukatusua fresh tu
Sijawahi kuona kilaza kama huyo mkuu!Bila Shaka wewe hesabu ulipiga mswaki la sivyo shule hujagusa...hesabu zinaenda hivyo???
Uhalisia ni hivi
2012 February tokeo linatoka akalamba four akakimbilia certificate mwaka huo hivyo basi akamaliza certificate yake 2013
Akaona aunganishe diploma hivyo 2013 huo akaunga diploma mwaka wa kwanza mpaka 2014 akamaliza mwaka wa kwanza wa diploma akaingia mwaka wa pili
Hivyo mwaka 2015 akamaliza mwaka wa mwisho diploma hivyo akaona isiwe taabu akaunga degree mwaka 2015 October ambapo mwaka huu mwezi huu ndio angepaswa kuwa semester ya pili mwaka wa kwanza...
Tatizo lipo kwamba yupo mwaka wa pili means amefikafikaje hapo hiyo ndio mada mkuu na pole kwa kukutusi
asante kaka.........REKEBISHA HAPO TUNAJIFUNZA
asante sana.........Wale WA masikini walipoitwa VILAZA hawakuchafuliwa. Huyu kuonyesha kwamba ana DIV IV na wmechaguliwa kujiunga chuo tayari kachafuliwa.
Tumieni Akili Mkuki kwa Nguruwe Tu.....!
Kwa mara ya kwanza leo naomba nimpongeze Faiza Fox
asante sana..........Kwa hiyo inatakiwa uchafue familia ya kiongozi wa ngazi za chini hata kama yule kule juu anafanya madudu?
Ndiyo mlikofikia na Magufuli wenu?
Hii nimeipenda maana imekuwa vice - versa ya ile ya mkuuMAGUFULI MUOGOPE MUNGU NA UMTOE JESCA CHUONI! KUMBUKA MWANAO KILAZA AMEZBA NAFASI YA MTOTO WA MASIKINI MWENYE QUALIFICATIONS; KUMBUKA MUNGU WA KWELI ANAKUONA ; WANA WA WENZAKO UNAWAITA VILAZA WAKATI BINTI YAKO UNAMPENYEZA CHUONI KWA KUTUMIA NAFASI YAKO
You think differently...STOP IT.Kuteleza. Kufeli ni "Failed".
unazani = unadhani (kama ni mtihani wa Kiswahili hapo umekosa marks 10).
Hivi serious kabisa unahitaji matokeo ya form six au unatania????
Diploma ya nini inasomwa mwaka mmoja??Kamaliza form 4 2011 , 2012- certificate, 2013-2014-diploma, 2015- mwaka wa kwanza, 2016- mwaka wa pili , yupo sahihi chuo
Diploma mwaka mmoja???? Kweli we kilaza2011- form 4
2012-certificate
2013-2014 diploma
2015-mwaka wa kwanza
2016-mwaka wa pili
Mtoto yupo sahihi tuache majungu
Kwa Magamba kila kitu kinawezekana huenda ni mchezo wao.Diploma ya nini inasomwa mwaka mmoja??