Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

ELIMU YA MWENDO KASI.

anahoji comrade Ben-Rabiu Wa Saanane.

Swali la kuudhi na kuchochea ugomvi wa mawe ndani ya nyumba ya vioo kwa Baba Jesca.

Yaani huyo binti wa Baba Jesca alihitimu Kidato cha nne mwaka 2011 matokeo yakatoka mwaka 2012 amepata Div. IV.30 maana hata kiswahili lugha ya Taifa alikula F.

Kwa kawaida ilitakiwa aanze kusomea ngazi ya cheti mwezi wa 9 2012 mpaka mwezi wa 7, 2013

Kisha aanze Diploma mwezi wa 9,2013 mpaka mwezi wa 7,2015(Miaka 2) lakini huyu tayari yupo mwaka wa pili UDOM Alidahiliwa mwaka 2014.

Alipaswa awe mwaka wa kwanza.Amefikaje mwaka wa Pili? Au huyo ni mwanafunzi hewa?

Ukiwa nyumba ya Vioo usianzishe ugomvi wa Mawe

Hoja hii inaenda beyond matokeo .Kuna suala la udilifu katika mfumo wetu wa Elimu .

Aluta Continua,Victory Ascerta....

Ben Saanane

Kimahesabu kama alijiunga na kidato cha tano shule binafsi huku akiwa anarisiti mtihani wa kidato cha nne hiyo inawezekana kabisa!! Labda tutafute matokeo yake ya kidato cha sita.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
teh teh teh! nimekumbuka huu wimbo: "Tanzania Tanzania nilalapo nakuota wewe, niamkapo ni heri mama wee, Tathania Tathania watu wengi wanakusifu, siasa zako na desturi, zilituletea uhuru. Hatuwezi kusahau sisi hali ngumu ya maisha kabisa, Tathania Tathania NAKUPENDA KWA MOYO WOTE.
 
Kimahesabu kama alijiunga na kidato cha tano shule binafsi huku akiwa anarisiti mtihani wa kidato cha nne hiyo inawezekana kabisa!! Labda tutafute matokeo yake ya kidato cha sita.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Huyu nayee, unaambiwa hajasoma five na six!....
 
Jamii forum ilipo nipo! Naipenda naiheshimu na ninaahidi kujitolea kuiendeleza!! Nani kama Jamii forum? Shukrani sana kwa mods wote na aliyejitolea kuanzisha jukwaa hili la aina yake Tanzania
Paw Invisible Mhariri Moderator na staff wote nawapa heshima yenu!!

Jamii forum ndiye baba wa demokrasia Tanzania!
 
2011- form 4
2012-certificate
2013-2014 diploma
2015-mwaka wa kwanza
2016-mwaka wa pili
Mtoto yupo sahihi tuache majungu
Hakuna diploma inayosomwa mwaka mmoja hapa nchini Tanzania kwa mfumo tuliona sasa ili MTU awe na diploma anapaswa apitie cheti mwaka 1 diploma kwa kozi za art na biashara ni miaka miwili jumla hapo ni miaka mitatu hivyo kwa MTU aliyepitia njia hii ya certificate hawezi kumaliza sawa na wenzake waliopitia direct. Kwa mchanganuo wako wa mtu aliyemaliza 4rm 4 2011 inatakiwa iwe hivi
2012-2013-certificate
2013-2015-diploma
2015 mwezi wa 9 au wa 10 anaanza first year ambayo mwaka wa masomo kwa semester 2 inaisha mwezi wa 6 au 7 2016 inategemea na chuo hivyo kwa mchanganuo huo tunataraji nwanafunzi kwa sasa awe anamalizia mwaka wa kwanza ambapo mitihani ya UE ndo inakaribia na sivinginevyo
 
Wonders never end in this world! Magu jitokeze tuambie ulitumia mbinu gani kumpenyeza Jesca chuoni na sisis tuzitumie?
Hehehehe wonders shall never end wallah hyo is called billion doller QN mkuuu
 
Mbona na mtoto wa kj alipata four akaenda advance ila hamkuongea sana
Tatizo jamaa karusha jiwe kumbe Kebbys hotel ni ya vioo na yumo ndani!! Wanampopoaje mkuu!!! Acha kabisa!!
 
Back
Top Bottom