Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Bila Shaka wewe hesabu ulipiga mswaki la sivyo shule hujagusa...hesabu zinaenda hivyo???
Uhalisia ni hivi
2012 February tokeo linatoka akalamba four akakimbilia certificate mwaka huo hivyo basi akamaliza certificate yake 2013
Akaona aunganishe diploma hivyo 2013 huo akaunga diploma mwaka wa kwanza mpaka 2014 akamaliza mwaka wa kwanza wa diploma akaingia mwaka wa pili
Hivyo mwaka 2015 akamaliza mwaka wa mwisho diploma hivyo akaona isiwe taabu akaunga degree mwaka 2015 October ambapo mwaka huu mwezi huu ndio angepaswa kuwa semester ya pili mwaka wa kwanza...
Tatizo lipo kwamba yupo mwaka wa pili means amefikafikaje hapo hiyo ndio mada mkuu na pole kwa kukutusi
Mkuu hesabu ulipata A hongera zako.
 
Kama elimu ya wanawe imemshinda hii ya nchi ataiweza? Kama huyu binti kaingia kwa magumashi mbona yeye kama mzazi hakumzuia?
Heheheh dah nimecheka kama chz mkuu
Eti kama elimu ta mwanae imemshinda je ya nchi ataiweza
 
Ktk ulimwengu huu ni Tanzania pekee mtu aliepata division four anasoma chuo kikuu(anynomous)
 
Aliyapata mwaka 2011, udom anasoma shahada B. COM HRM tangu mwaka 2014 nina hakika Nimemjibu Maswali yako.
Kwa matokeo yake nadhani alipaswa kuanza na certificate (1year) kisha diploma(xyz yrs)....
 
Mtoto wa mkulu atimuliwe,PIA TUHOJI,je anapata mkopo?kama anapata,je asilimia ngapi?baba yake hajiwezi kumlipia mwanae? Kama anajiweza kwa nini asingwaachia maskini anaojinasibu kuwatetea wapate mkopoooooo!!!! Bodi ya mikopo tunaomba kauli
 
Hiyo combination gani ya form six ina masomo saba? Kuna combination yenye somo la Civics?
Sawa nimeielewa mkuu,kuna figure sizielewi.sasa basi kama alizi clear kwa kufanya certificate au diploma au re sitting hawezi ku qualify?
 
Hiyo shule ada shilingi ngapi ?
Unaweza kukuta anapata mkopo wa bodi ya mikopo elimu ya juu japo baba yake ana uwezo,serikali ya wanafunzi UDOM lazima mna data za huyu binti
 
Sawa nimeielewa mkuu,kuna figure sizielewi.sasa basi kama alizi clear kwa kufanya certificate au diploma au re sitting hawezi ku qualify?
Anaweza kuqualify ndugu the issue ni MUDA tu ndio umeleta ukakasi mzima...haiwezekani akaclear na kuunga na leo awe anamaliza mwaka wa pili kwamba anaingia mwaka wa tatu ni jambo lisilowezekana
 
Back
Top Bottom