[/QUOTE]View attachment 353228
St Mathew Secondary School
S1071/0102
F
JESCA JOHN MAGUFULI
30
IV
CIV-D HIST-D GEO-D KISW-F ENGL-C B/MATH-F COMM-F
============
View attachment 353229
Hayo ni matokeo yake na sasa hivi anasoma UDOM
Aanze na mwanae ili niamini kwamba kweli Hapa Kazi Tu.
Nikweli maana naona uzi unakimbia lkn siwaoni kutia mguu na hi inathibitisha kuwa hata wao wanayaona madhaifu kutoka ndani ya familia yaoHuwezi kuwaona hapa hao nyumbu.
Kwa mara ya kwanza umeongea pointKweli kabisa. Inafaa tufanye mabadiliko ya haraka sana, maana mtoto wa Rais ndio hivyo, waziri wake ndio hivyo, halafu hawa ndio wanakuja kurithi! Naona vijukuu vyenu vitakuwa na kazi kubwa sana kama 2015 hatujafanya bidii ya kujitokeza kumpigia kura Rais atae tufaa.
Mkuu unapoteza nguvu zako bure kwa kujibishana na hao watwana wa lumumbaKwahiyo matokeo ya Necta ni ya uongo?
Ebu nitajie kimoja nimpeleke huyu kilaza wangu nae aende chuo kikuu huyu kilaza wangu kufukuzwa UDOM ana 3 ya 23.viko vingi sana, ndani ya nchi hata nje ya nchi, tena vingine less than 2 years
Division 4ahahaahahaha MKUU njoo huku nimekutafta nikutag sijakuona, eti wadau wanasema mbona First Daughter ni KILAZA ila mi simo.
Kwani First daughter alipata div ngapi vile....
ahahahaahaha
kwiiii kwi kwiii, kapiga mbizi, du!!!!
kuanzia mwakani watatoa matokeo kwa namba za mitihani, mambo ya majina yanatuaibisha, wanaoafiki waseme siyo,
siyoooo, wanaopinga waseme ndio,
ndiyooooooooooooooooooooooooo!
Obrigado
Aanze na mwanae kufanya nini?
Ameuchokoza moto,yaani kaanzisha vita ya kurushiana mawe wakati anaishi kwenye nyumba ya viooHahahahaaaaa mzeee katoa ziroo nyumbani kwakeee
Kwa kauli yake waliopata div 4 ni vilaza,ila kwa mwanawe siyo kilazaKama elimu ya wanawe imemshinda hii ya nchi ataiweza? Kama huyu binti kaingia kwa magumashi mbona yeye kama mzazi hakumzuia?
Aliyapata mwaka 2011, udom anasoma shahada B. COM HRM tangu mwaka 2014 nina hakika Nimemjibu Maswali yako.Nimesoma michango mingi ngoja nije kivingine.
Huyu binti Magufuli haya matokeo aliyapata mwaka gani? Maana sasa hivi unasema yupo UDOM. Je huko UDOM anasoma kozi gani Shahada au stashahada? Kuanzia mwaka gani? Lengo la maswali haya ni kutaka kujua kama kunamagumashi.
Baada ya majibu ya maswali haya nitakuwa na maelezo ya nyongeza