Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Wa mtoni huyu!Post imewakwa kwa Kiswahili. Umesoma ukaelewa, ndg kwa nini ukujibu kwa Kiswahili? Au ndo wale wale waliokunywa uji wa mgonjwa? Kiingereza sio sifa ni lugha kama ilivyo kiswahili, kihaya etc