Mtoto wa mama mkwe alikuambia nini mpaka ukamkubalia?

Mshangazi dot com

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
1,345
Reaction score
3,503
Kuna wanaume wajuzi jamani. Vipi wewe alikuambia nini kikakuingia au akakufurahisha mpaka ukakubali kumpa mbususu?

Mimi kuna kijana wa kinyamwezi, mrefu, mweusi alinitumia hizi meseji baada ya kukutana, mwili wote ukabaki unachoma choma tu. Mbususu alipewa mpaka akanogewa, akaikacha kambi ya kataa ndoa ya Intelligent businessman.

meseji 1.jpg

meseji 2.jpg

mweusi mrefu.jpg

nakwede97 Nililainika buana, hakuna mkate mgumu mbele ya chai 😅
 
Kuna wanaume wajuzi jamani. Vipi wewe alikuambia nini kikakuingia au akakufurahisha mpaka ukakubali kumpa mbususu?

Mimi kuna kijana wa kinyamwezi, mrefu, mweusi alinitumia hizi meseji baada ya kukutana, mwili wote ukabaki unachoma choma tu. Mbususu alipewa mpaka akanogewa, akaikacha kambi ya kataa ndoa ya Intelligent businessman akaja home.

View attachment 3228965

View attachment 3228967

View attachment 3228968

Eeeeh aaahyaaah 🏃🏻‍➡️ 🏃🏻‍➡️
 
Ukichunguza kwa umakini utagundua kuwa ni mtabiri wa nyota maana kapiga copy paste kwa mademu wengine kadhaa kama wewe na wote kawatabaria nyota ya uzazi.

Wanaume tunakuwa wazuri na wakarimu mno tukitaka utelezi.
 
Kuna wanaume wajuzi jamani. Vipi wewe alikuambia nini kikakuingia au akakufurahisha mpaka ukakubali kumpa mbususu?

Mimi kuna kijana wa kinyamwezi, mrefu, mweusi alinitumia hizi meseji baada ya kukutana, mwili wote ukabaki unachoma choma tu. Mbususu alipewa mpaka akanogewa, akaikacha kambi ya kataa ndoa ya Intelligent businessman akaja home.

View attachment 3228965

View attachment 3228967

View attachment 3228968

nakwede97 Nililainika buana, hakuna mkate mgumu mbele ya chai 😅
Mkuu una mshape...wewe ndiyo unaeonekana kwa Avatar?
Tucheat basi mara moja tu
 
Alinidanganya kwa kuniita "mke wangu" ...nikalainika.
Unajua Kuna muda bila kudanganywa hatuendi🤒

Can u imagine,u jst feel him,then anakuita mke wangu 😋

Hapana hapana bila kuniambia uongo hamtoboi wafukuziaji🥴
Nimekuelewa vizuri sana Mke Wangu, Mama WA watoto Wetu, malkia Wangu kipenzi. Asante Mama. Nipo Mbeya Pazuri Leo
 
Back
Top Bottom