TANZIA Mtoto wa Masoud Kipanya maarufu Malcolm the Believer amefariki dunia

TANZIA Mtoto wa Masoud Kipanya maarufu Malcolm the Believer amefariki dunia

Pumzika Malcolm, Mmungu awape subra wazazi.Inna Lillah Wainna Ilayh Raaajiun
 
Apumzike kwa amani mtoto,Mungu pia ampe nguvu Masoud
 
Dah Mungu ni mwema amepambania Sana maisha yake
 
Inna lillah waina illah rajiun..

Daah nahisi nimevivaa viatu vya Masoud kwa sasa, inauma sana ila ndio kadar ya Allah imetimia.

Pole sana bro Masoud
 
Pumzika salama mate, Death is what gives life meaning to know your days are numbered and short.
RIP Wote tu mavuno ya kifo 🌹
FB_IMG_16217804947029099.jpg
 
Pole ziwafikie familia nzima ya Masoud pia Mungu awatie moyo ktk kipindi hiki kigumu.
 
Poleni Masoud na familia. Mungu awape nguvu wakati huu wa majonzi makubwa.
 
Back
Top Bottom