OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Maisha plus.Hivi masoud huu ukwasi ameutoaga wapi?
Rip mtoto mzuri
Yah inasikitisha.RIP, duniani kuna mithani jamani! Unaomba kupata mtoto na unapata mtoto ambaye anaendelea kuwa mtoto!
Tena mtihani mzito sanaInna Lillahi wa Inna Ilaihi raajiuun
Pole sana brother Masoud
Mungu alikupa mtihani na ukaubeba kwa imani kubwa
Allah amuweke Malcolm peponi na azidi kukupandisha daraja