TANZIA Mtoto wa Masoud Kipanya maarufu Malcolm the Believer amefariki dunia

Alipambania maisha yake na aliipigania afya yake hadi dakika ya mwisho ya uhai wake poleni wafiwa
 

Poleni.

Apumzike kwa amani.
 

2 Tim 4:7​

"Nimevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, Imani nimeilinda." Poleni sana Mr. & Mrs. Masoud Kipanya
Hili fungu watu wengi wamekuwa wakilitumia hasa pale mtu anapofariki lakin hawaelewi maana yake maana wanalitumia kwa kila marehemu..Mwakasege alivolichambua nkasema watu wanalitumia sio wakati mwingine....Ni Nani aliandika alimwandikia Nani? Vita gani alivipiga, na uzuri wa kupigana kwake ulikuwaje? Na Ni mwendo gani anao uzungumzia na ni Imani gani inayozungumziwa aliyoilinda?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwa tasfiri isiyo rasmi, niliwahi msikia dogo akisema...
''Mwenyezi Mungu ana mengi, yaweza kuwa hivi nilivyo ni kuwafundisha wengine jambo fulani kupitia mimi'' Maclom Masoud
Apumzike kwa amani, safari moja.
 
Shujaa mwingine ameanguka leo marcom.... Rest easy son
 
Pole brother Mwenyenzi Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu
 
Aisee i never the got the chance to him ila nimekua nikimuona sana social media. I can’t deny nimeumia mnoo about his death. Hakika Mungu atabaki kuwa Mungu.

Poleni Kwa Ndugu, Jamaa na Familia ya Masoud. Bwana Mungu Akawe Mfariji Mkuu. Amen. [emoji1488]
 
Poleni sana wanafamilia.
Mungu awasimamie katika kipindi hiki kigumu.
Pole sana masudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…