TANZIA Mtoto wa Masoud Kipanya maarufu Malcolm the Believer amefariki dunia

Sisi ni wa Allah na kwake tutarejea. Da kiukwel nimeumia sijui maumivu ya mama aliekua akimuhudumia nyakati zote? Sijui kwa baba aliekua akiambana kuhakikisha mtoto ake anattibiwa na kupata huduma zote pale zinapohitajika? Mungu awape wepesi
 
Pole sana walioguswa na huu msiba mzito.

Mungu awatie nguvu.
 
Alazwe mahali pema peponi Malcom the believer.
 
Mungu akutie nguvu kaka Masudi wewe pamoja na mkeo Sarah.
 
Pole kwa kaka Kipanya na familia. Pumzika kwa amani Malcom
 
Mungu awafariji wote walioguswa na msiba huu
 
Dah men ain't supposed to cry 😭, but I did. Rest in peace Mally
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…