Mtoto wa Messi ni hatari kwenye Kandanda

Waswahili wanasema "Mtoto wa Nyoka ni Nyoka" angalia hapa Mtoto wa mwanasoka Messi anavyolisakata kabumbu.

View attachment 2866092

Mateo Messi amedhihirisha kuwa Baba yake amemkuza kuja kuwa Mchezaji bora mbeleni.

View attachment 2866106
ngoja akue tuone, Maana walikuweko wengi wa hivi lakin ukubwani wako normal tu,
mfano foden kipindi mdogo sana alikuwa hafai
 
Hamna kitu . Ataishia tu kama watoto wa akina Zidane, Beckham.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…