Mtoto wa miaka 10 ajiunga na Chuo Kikuu kusomea Hesabu

Mtoto wa miaka 10 ajiunga na Chuo Kikuu kusomea Hesabu

yep Esther Okade,mwanzo hiyo OKADE nilidhani ni mjaluo wa kenya,nilipo chunguza nikakuta wazazi wake wana asili ya nigeria ila wamelowea UK......10 Year Old Nigerian Real Life Wizkid, Is Top of Her UK University Class, After Scoring 100% In Recent Test. :eyebrows::eyebrows::eyebrows:

kadoda11 Tehehehehe!! mwanzo ulipodhani Mkenya lazima nguvu zilikuishia na msukumo wa damu ukaibuka, moyo ukapiga kwa kishindo, ukahisi kuzimia, mishipa ikajitokeza, jasho likatiririka...
Halafu baada ya kumeza dawa ukapata nguvu ukahangaika kutafuta asilia ya jina Google....jameni kakangu pata amani usife bure.
 
Last edited by a moderator:

..can't stand you,...lol!
 
Classic!
 
Hiyo solution ni chaka, swali analosolve silo lililoandikwa. Kama hiyo solution inayoonekana ni ya hilo swali, basi huyu dogo hana uspecial wowote, bad enough walioitoa hiyo picha hawajahakiki.
ndugu kweli ulikimbia hesabu iyo solution ndo yenyewe rafiki
 
Hiyo hesabu ya kutafutia herufi namba sizipend.. All the best young girl
 
Dogo ana miaka hiyo,mkali wa namba!!

Mimi toka nikanyage secondary, marks nyingi kupata ni 21 kwenye mock form 2!!

Hesabu ni janga la kitaifa.
Somo la LOGIC likifundishwa kwenye shule za msingi na sekondari itakuwa rahisi wanafunzi kumudu hesabu na masomo yenye msingi wa hesabu (engineering, statistics, economics, finance). Tatizo kubwa la wanafunzi (na walimu) siku hizi ni kufundisha/kujifunza hesabu kwa kukariri badala ya kuelewa na kufuata mantiki yake.
 
Vyuo vyetu viko sahihi.Mambo makubwa yanataka yaendane na umri mkubwa. Mtoto mdogo waweza hata mfundisha kuendesha gari, meli au ndege akaweza lakini huwezi mkabidhi mtoto wa miaka kumi

kwa mfano aendeshe basi la abiria,meli au ndege ikiwa na abiria.Pamoja na kujua hajakomaa kufanya hizo kazi.Na kuna sheria za kuzuia mfano sheria ya ajira inakataza kuajiri watoto hata kama wana PHD ulimwenguni pote.

Hako katoto hata kakipata PHD huwezi kukaajiri sababu sheria za ajira duniani zinakataa ajira kwa watoto.

Akianza kujaza mambo makubwa mengi akiwa mtoto ubongo wake utachoka na kuchakaa haraka huko mbele hilo toto litakuwa boya.Ndiyo maana mtoto inatakiwa aelimike taratibu kadiri akuavyo na akae na kukua na watu wa rika yake.

Hebu fikiria mtoto wa miaka 10 yuko darasani na mijitu mizima darasani chuo kikuu inayoongelea kuachwa na boy friend au girl friend kimalezi unamwonea na kumchanganya sio mahali pake.Anatakiwa kuwa darasa lenye watoto wenzie wanaoendana.

Kwahiyo wewe ndiyo una akili sana kuwazidi wale waliomruhusu yule mtoto kuwa admitted to the university? Poor you!
 
Uvunjaji sheria ya ajira kwa watoto ni tatizo la dunia ikwemo NASA.Sheria za ajira kuhusu umri ziko wazi dunia nzima lakini kuna ambao hawajali.

Na hawapati wa kuwakomalia.Hiyo ajira angetokea wakili akawakomalia NASA leo hii huyo wakili angekuwa anang`aa kama dhahabu dunia nzima.

Niwaombe wanasheria kama wana kesi yeyote ya ajira ya watoto wanayojua wakomalie wasiogope iwe NASA ndio imekosea wala nani ili wajenge CV zao.
Usiishi kwa kukalili ndugu yangu,sheria zipo ili zivunjwe!
 
Nitajie nchi moja tu duniani inayofundisha uvumbuzi uweke na ushahidi wa mvumbuzi yeyote aliyevumbua chochote aliyefundishwa kuvumbua hicho alichovumbua.Watu kweli mmeichoka Tanzania hameni basi kuliko kuizulia uongo kutwa.

kuelewa nalo ni tatizo kwetu watanzania, nilichokuwa namaanisha ni kuwa mifumo ya elimu ya wenzetu inahamasisha fikra huru kufikia productivity, ya kwetu imejifungia kwenye kufaulu mitihani ya nadharia!

Si ajabu kwa wenzetu watoto wadogo wanaajiriwa Apple Inc, wakati graduate wa Tanzania mtaani anashindwa kuinstall OS tu (nilishawahi kushuhudia). haya bana wacha tuendelee kushindilliwa knowledge kichwani wakati wenzetu kowledge ni njia tu ya kuelekea skills.
 
Usitegemee mfumo wowote wa elimu kukufundisha jinsi utakavyokua mvumbuzi huko nje. Elimu shuleni ni utangulizi tu wa maisha, huko nje ndiko kuna elimu tosha. Hapo unaposema graduate kushindwa kuinstall OS sio maajabu.

Kumbuka kuna OS aina nyingi na hazifundishwi jinsi ya kuzinstall zote, kuna hata zile proprietary.

Bidii ya mtu na passion ndio zitakupa elimu inavyostahili.
 
Ningependa kujua siri ya mafanikio kwa hawa wabantu wenzetu wa NIGERIA. Cheki Genious mwingine huyo hapo kutoka huko huko.

Nigerian teenage Genious.jpg

Nigerian Genius: Obama Commends 19 Year-old Nigerian Harvard Finalist Listed Among The “World’s 50 Smartest Teenagers” - How Nigeria
 
Watu wenye akili nyingi sana za darasani mara nyingi maisha huwa yanawasumbua.

So kweli ila kwenye mfumo mbaya tu wa serikali na watu. Ingekuwa hivyo tusingekuwa na akina Einstein Oppenheimer na wengine. Hivyo ni misemo ya kibongo tu maana hakuna watu wa kuwashauri.
 
Back
Top Bottom