Mtoto wa miaka 10 ajiunga na Chuo Kikuu kusomea Hesabu


kadoda11 Tehehehehe!! mwanzo ulipodhani Mkenya lazima nguvu zilikuishia na msukumo wa damu ukaibuka, moyo ukapiga kwa kishindo, ukahisi kuzimia, mishipa ikajitokeza, jasho likatiririka...
Halafu baada ya kumeza dawa ukapata nguvu ukahangaika kutafuta asilia ya jina Google....jameni kakangu pata amani usife bure.
 
Last edited by a moderator:

..can't stand you,...lol!
 
Last edited by a moderator:

Classic!
 
Hiyo solution ni chaka, swali analosolve silo lililoandikwa. Kama hiyo solution inayoonekana ni ya hilo swali, basi huyu dogo hana uspecial wowote, bad enough walioitoa hiyo picha hawajahakiki.
ndugu kweli ulikimbia hesabu iyo solution ndo yenyewe rafiki
 
Hiyo hesabu ya kutafutia herufi namba sizipend.. All the best young girl
 
Dogo ana miaka hiyo,mkali wa namba!!

Mimi toka nikanyage secondary, marks nyingi kupata ni 21 kwenye mock form 2!!

Hesabu ni janga la kitaifa.
Somo la LOGIC likifundishwa kwenye shule za msingi na sekondari itakuwa rahisi wanafunzi kumudu hesabu na masomo yenye msingi wa hesabu (engineering, statistics, economics, finance). Tatizo kubwa la wanafunzi (na walimu) siku hizi ni kufundisha/kujifunza hesabu kwa kukariri badala ya kuelewa na kufuata mantiki yake.
 

Kwahiyo wewe ndiyo una akili sana kuwazidi wale waliomruhusu yule mtoto kuwa admitted to the university? Poor you!
 
Usiishi kwa kukalili ndugu yangu,sheria zipo ili zivunjwe!
 
Nitajie nchi moja tu duniani inayofundisha uvumbuzi uweke na ushahidi wa mvumbuzi yeyote aliyevumbua chochote aliyefundishwa kuvumbua hicho alichovumbua.Watu kweli mmeichoka Tanzania hameni basi kuliko kuizulia uongo kutwa.

kuelewa nalo ni tatizo kwetu watanzania, nilichokuwa namaanisha ni kuwa mifumo ya elimu ya wenzetu inahamasisha fikra huru kufikia productivity, ya kwetu imejifungia kwenye kufaulu mitihani ya nadharia!

Si ajabu kwa wenzetu watoto wadogo wanaajiriwa Apple Inc, wakati graduate wa Tanzania mtaani anashindwa kuinstall OS tu (nilishawahi kushuhudia). haya bana wacha tuendelee kushindilliwa knowledge kichwani wakati wenzetu kowledge ni njia tu ya kuelekea skills.
 

Usitegemee mfumo wowote wa elimu kukufundisha jinsi utakavyokua mvumbuzi huko nje. Elimu shuleni ni utangulizi tu wa maisha, huko nje ndiko kuna elimu tosha. Hapo unaposema graduate kushindwa kuinstall OS sio maajabu.

Kumbuka kuna OS aina nyingi na hazifundishwi jinsi ya kuzinstall zote, kuna hata zile proprietary.

Bidii ya mtu na passion ndio zitakupa elimu inavyostahili.
 
Kwahiyo wewe ndiyo una akili sana kuwazidi wale waliomruhusu yule mtoto kuwa admitted to the university? Poor you!

Waingereza Wale walioruhusu ushoga na ndoa za jinsia moja! NIMEWAZIDI SANA TU AKILI.Niombe samahani.
 
Watu wenye akili nyingi sana za darasani mara nyingi maisha huwa yanawasumbua.

So kweli ila kwenye mfumo mbaya tu wa serikali na watu. Ingekuwa hivyo tusingekuwa na akina Einstein Oppenheimer na wengine. Hivyo ni misemo ya kibongo tu maana hakuna watu wa kuwashauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…