Yes Ni ngumu sana kuongilia familia YA MTU mwingine..mtoa maada umefanya Jambo la maanaWatu wengi ni wabinafsi?. Hawajali kinachowapata wengine maadam wao hawaathiriki. Alichofanya mdau kutoa taarifa ni cha kiungwana. Anastahili pongezi.
Hapa mtaani kuna mama mmoja anaitwa Mama Nancy amemuajiri mtoto ambaye kwa umri sina uhakika lakini nahisi ana umri wa miaka 9 au 10, ameajiriwa kama house girl.
Kibaya zaidi Mama Nancy amekuwa akimnyanyasa huyo mtoto, anampiga anamfokea na inadaiwa amemkataza kuzungumza na watu wengine nje ya familia yake ili wasije wakamfungua akili.
Mtoto huyo amekuwa akiishi kinyonge muda mwingi, anapata mateso makali tena ya waziwazi ambayo sisi majirani tunaona, vipi kuhusu yale ambayo hatuyaoni yanayofanyika kwa ndani?
Mtaa unaoishi na ambao ndio mhusika huyo anapatikana unaitwa Umoja Street, ni Kimara Stop Over (Dar es Salaam).
Mtu ambaye anataka kushuhudia au kama Serikali inataka kufuatilia, wakifika hapo Stop Over, waulizie kwa Dereva Bodaboda kuwa wawapeleke Mtaa wa Dkt. Kayuni au Kanisa la Mabati.
Wakifika hapo nyumba hiyo ina geti la kijivu, chumba cha kwanza cha wapangaji, ndipo anaposhi mama huyo.
Mama huyo ni Mwalimu, anafundisha Shule ya Msingi ipo mitaa hiyohiyo ya Kimara.
Mtoto huyo ameajiriwa hapo wiki za hivi karibuni, ametokea nje ya Dar, aliyemleta ni mama mmoja (rafiki wa Mama Nancy) ambaye kazi yake anachukua Watoto wadogowadogo kama huyo house girl kisha anawabebesha bidhaa wauze mtaani, bidhaa kubwa anayowabebesha ni sabuni.
Mimi nazungumza kwa kuwa natarajia kuwa mzazi, hivyo ninapoona Mtoto mdogo kama huyo anafanyia hayo inamanisha nami Mtoto wangu ipo siku anaweza kufanyiwa kama hayo.
Mama Nancy ambaye ni mama wa Watoto wawili, anaonesha roho mbaya kiasi kwamba ni kama hana Watoto.
Naomba Waziri Gwajima kupitia Wizara yake amsaidie mtoto huyu pamoja na Watoto wengine wote wanaotolewa mkoani na rafiki wa mama Nancy kisha kuja mjini kutumikishwa.
Inawezekana wazazi wa Watoto hao ni masikini n ndio maana wanawaruhusu Watoto wao waje mjini bila kujua wanachopiti
Dkt. Gwajima DHapa mtaani kuna mama mmoja anaitwa Mama Nancy amemuajiri mtoto ambaye kwa umri sina uhakika lakini nahisi ana umri wa miaka 9 au 10, ameajiriwa kama house girl.
Kibaya zaidi Mama Nancy amekuwa akimnyanyasa huyo mtoto, anampiga anamfokea na inadaiwa amemkataza kuzungumza na watu wengine nje ya familia yake ili wasije wakamfungua akili.
Mtoto huyo amekuwa akiishi kinyonge muda mwingi, anapata mateso makali tena ya waziwazi ambayo sisi majirani tunaona, vipi kuhusu yale ambayo hatuyaoni yanayofanyika kwa ndani?
Mtaa unaoishi na ambao ndio mhusika huyo anapatikana unaitwa Umoja Street, ni Kimara Stop Over (Dar es Salaam).
Mtu ambaye anataka kushuhudia au kama Serikali inataka kufuatilia, wakifika hapo Stop Over, waulizie kwa Dereva Bodaboda kuwa wawapeleke Mtaa wa Dkt. Kayuni au Kanisa la Mabati.
Wakifika hapo nyumba hiyo ina geti la kijivu, chumba cha kwanza cha wapangaji, ndipo anaposhi mama huyo.
Mama huyo ni Mwalimu, anafundisha Shule ya Msingi ipo mitaa hiyohiyo ya Kimara.
Mtoto huyo ameajiriwa hapo wiki za hivi karibuni, ametokea nje ya Dar, aliyemleta ni mama mmoja (rafiki wa Mama Nancy) ambaye kazi yake anachukua Watoto wadogowadogo kama huyo house girl kisha anawabebesha bidhaa wauze mtaani, bidhaa kubwa anayowabebesha ni sabuni.
Mimi nazungumza kwa kuwa natarajia kuwa mzazi, hivyo ninapoona Mtoto mdogo kama huyo anafanyia hayo inamanisha nami Mtoto wangu ipo siku anaweza kufanyiwa kama hayo.
Mama Nancy ambaye ni mama wa Watoto wawili, anaonesha roho mbaya kiasi kwamba ni kama hana Watoto.
Naomba Waziri Gwajima kupitia Wizara yake amsaidie mtoto huyu pamoja na Watoto wengine wote wanaotolewa mkoani na rafiki wa mama Nancy kisha kuja mjini kutumikishwa.
Inawezekana wazazi wa Watoto hao ni masikini n ndio maana wanawaruhusu Watoto wao waje mjini bila kujua wanachopitia.
Aache umbeya sio, utakua wewe ndio mama Nancy.Anzia serikali ya mtaani kwako na acha umbea kuingilia nyumba za watu. Muache aendelee kumtesa au uchukue huyo mtoto uishi nae kwako umlee vile unavyoona wewe inafaa.
Watoto wa mitaani watapngezeka Kwa serikali hii ya ccm.
Ametoa kwa waziri kabisa.Kuna shida?Kwa nini msitoe ripoti kwa mjumbe?
Nashukuru kwa habari hii,ila watanzania tujifunze kuwa na huruma;Hapa mtaani kuna mama mmoja anaitwa Mama Nancy amemuajiri mtoto ambaye kwa umri sina uhakika lakini nahisi ana umri wa miaka 9 au 10, ameajiriwa kama house girl.
Kibaya zaidi Mama Nancy amekuwa akimnyanyasa huyo mtoto, anampiga anamfokea na inadaiwa amemkataza kuzungumza na watu wengine nje ya familia yake ili wasije wakamfungua akili.
Mtoto huyo amekuwa akiishi kinyonge muda mwingi, anapata mateso makali tena ya waziwazi ambayo sisi majirani tunaona, vipi kuhusu yale ambayo hatuyaoni yanayofanyika kwa ndani?
Mtaa unaoishi na ambao ndio mhusika huyo anapatikana unaitwa Umoja Street, ni Kimara Stop Over (Dar es Salaam).
Mtu ambaye anataka kushuhudia au kama Serikali inataka kufuatilia, wakifika hapo Stop Over, waulizie kwa Dereva Bodaboda kuwa wawapeleke Mtaa wa Dkt. Kayuni au Kanisa la Mabati.
Wakifika hapo nyumba hiyo ina geti la kijivu, chumba cha kwanza cha wapangaji, ndipo anaposhi mama huyo.
Mama huyo ni Mwalimu, anafundisha Shule ya Msingi ipo mitaa hiyohiyo ya Kimara.
Mtoto huyo ameajiriwa hapo wiki za hivi karibuni, ametokea nje ya Dar, aliyemleta ni mama mmoja (rafiki wa Mama Nancy) ambaye kazi yake anachukua Watoto wadogowadogo kama huyo house girl kisha anawabebesha bidhaa wauze mtaani, bidhaa kubwa anayowabebesha ni sabuni.
Mimi nazungumza kwa kuwa natarajia kuwa mzazi, hivyo ninapoona Mtoto mdogo kama huyo anafanyia hayo inamanisha nami Mtoto wangu ipo siku anaweza kufanyiwa kama hayo.
Mama Nancy ambaye ni mama wa Watoto wawili, anaonesha roho mbaya kiasi kwamba ni kama hana Watoto.
Naomba Waziri Gwajima kupitia Wizara yake amsaidie mtoto huyu pamoja na Watoto wengine wote wanaotolewa mkoani na rafiki wa mama Nancy kisha kuja mjini kutumikishwa.
Inawezekana wazazi wa Watoto hao ni masikini n ndio maana wanawaruhusu Watoto wao waje mjini bila kujua wanachopitia.
Hii hii serikali iliyo-collapse ndiyo mnaitegemea? Hii hii serikali ambayo kuna mbunge aliingiza chupa kwenye makalio ya mwananchi mmoja na ikamkingia kifua? Kwa kifupi as long as CCM iko madarakani endeleeni kutegemea visa vya kuogofya!Asilimia zaidi ya 70% ya hii vita ni propanda.
Asilimia 30% zilizobaki ni hatua kali za kisheria na mikakati ya social services in coordination na wizara.
Hiyo sio vita ya dorothy Gwajima peke yake.
Hayo mambo yanataka 30% mikakati ya local government initiatives na story yenyewe ni ndefu.
Hii vita Dorothy uwezi shinda dada yangu bila ya kusoma modules nilizokupa inataka committed inter professional team working ya idara kadhaa and high investment in propaganda.
Hao watu wengine awapo committed kupambana na hiyo vita ndio maana tuko hapa.
Yani ni huzuni na hatari sana.Unaajiri mtoto mdogo wa miaka kumi ili atunze watoto na nyumba?Ni uvivu wa fikra,ukichaa,ukoloni,kukomeshana,visasi,wehu au ni nini hasa?Watoto wenyewe wa siku hizi ukuaji tu wa akili zao na upambanuaji wa mambo ni mgumu.Sasa akipewa majukumu ya ulezi inakuwaje?Hawa watu ni wa kuadhibiwa kwa utekaji,utumikishaji(watumwa) na ukatili.Hivi katoto ka miaka 10 unaweza kukafanyisha kazi yoyote kweli?
Mkuu kichwa chako umekigeuza kuwa bustani ya kufugia nywele!Anzia serikali ya mtaani kwako na acha umbea kuingilia nyumba za watu. Muache aendelee kumtesa au uchukue huyo mtoto uishi nae kwako umlee vile unavyoona wewe inafaa.
Watoto wa mitaani watapngezeka Kwa serikali hii ya ccm.
Hli siyo tatizo dogo bali ni tatizo la kitaifa. Huyo ni mmoja ya maelfu ya watoto wanaoteseka. Wananachi mtaani wameshaliona ni kama jambo la kawaida kwa sababu kila mtu anakimbizana na hali yake ya maisha kuzidi kuwa mbaya. Umaskini ni janga na hufanya watu wasiweze kuwaza logically. Njia iliyopo ni kuiondoa CCM ili kujiwekea precedence kuwa viongozi wasipofanya vizuri wanaondelewa kinyume na sasa ambako wale wanaoharibu ndiyo wanapewa shavu.Matatizo madogo kama haya ndio ayatolee taarifa Kwa waziri?. Hapo mtaani kwao hakuna mjumbe, serikali ya mtaa hakuna?. Mambo madogo kama haya yadhughurikiwe na waziri?.
Kutoa kwa waziri si kosa.Ukimtaja tu waziri umewafikia wote kuanzia balozi,mwenyekiti wa mtaa na wajumbe wake,mtendaji wa mtaa na mgambo wake,afisa ustawi jamii,afisa maendeleo jamii,mtendaji kata na polisi kata wake/askari jamii,afisa maendeleo jamii wilaya na mkoa,mkurugenzi wa wilaya na manispaa,DAS,DC,RAS,RC nk.Nini shida?Halafu si hivyo tu.Hadi wewe na mimi tumejua mama Nancy ni shida mtaani(hadi itakavyothibitika).Kwa nini msitoe ripoti kwa mjumbe?
Mkuu mwenzetu kizazi ulishakojoa maana sio kwa roho hiyoAnzia serikali ya mtaani kwako na acha umbea kuingilia nyumba za watu. Muache aendelee kumtesa au uchukue huyo mtoto uishi nae kwako umlee vile unavyoona wewe inafaa.
Watoto wa mitaani watapngezeka Kwa serikali hii ya ccm.
Afya ya akili ni janga sana sasa hivi aiseeAnzia serikali ya mtaani kwako na acha umbea kuingilia nyumba za watu. Muache aendelee kumtesa au uchukue huyo mtoto uishi nae kwako umlee vile unavyoona wewe inafaa.
Watoto wa mitaani watapngezeka Kwa serikali hii ya ccm.
Mkuu sawa! Lakini wananchi mngekuwa mmeshamripoti kwa mjumbe then ofisi ya Kata nadhani hatua za awali huenda zingeanza kuchukuliwa dhidi ya Nancy.Kutoa kwa waziri si kosa.Ukimtaja tu waziri umewafikia wote kuanzia balozi,mwenyekiti wa mtaa na wajumbe wake,mtendaji wa mtaa na mgambo wake,afisa ustawi jamii,afisa maendeleo jamii,mtendaji kata na polisi kata wake/askari jamii,afisa maendeleo jamii wilaya na mkoa,mkurugenzi wa wilaya na manispaa,DAS,DC,RAS,RC nk.Nini shida?Halafu si hivyo tu.Hadi wewe na mimi tumejua mama Nancy ni shida mtaani(hadi itakavyothibitika).
Niunganisheni na huyo mtoto nimsaidie kazi ataishi vizuri aachane na huyo mnyama anayemnyanyasa KennedyHapa mtaani kuna mama mmoja anaitwa Mama Nancy amemuajiri mtoto ambaye kwa umri sina uhakika lakini nahisi ana umri wa miaka 9 au 10, ameajiriwa kama house girl.
Kibaya zaidi Mama Nancy amekuwa akimnyanyasa huyo mtoto, anampiga anamfokea na inadaiwa amemkataza kuzungumza na watu wengine nje ya familia yake ili wasije wakamfungua akili.
Mtoto huyo amekuwa akiishi kinyonge muda mwingi, anapata mateso makali tena ya waziwazi ambayo sisi majirani tunaona, vipi kuhusu yale ambayo hatuyaoni yanayofanyika kwa ndani?
Mtaa unaoishi na ambao ndio mhusika huyo anapatikana unaitwa Umoja Street, ni Kimara Stop Over (Dar es Salaam).
Mtu ambaye anataka kushuhudia au kama Serikali inataka kufuatilia, wakifika hapo Stop Over, waulizie kwa Dereva Bodaboda kuwa wawapeleke Mtaa wa Dkt. Kayuni au Kanisa la Mabati.
Wakifika hapo nyumba hiyo ina geti la kijivu, chumba cha kwanza cha wapangaji, ndipo anaposhi mama huyo.
Mama huyo ni Mwalimu, anafundisha Shule ya Msingi ipo mitaa hiyohiyo ya Kimara.
Mtoto huyo ameajiriwa hapo wiki za hivi karibuni, ametokea nje ya Dar, aliyemleta ni mama mmoja (rafiki wa Mama Nancy) ambaye kazi yake anachukua Watoto wadogowadogo kama huyo house girl kisha anawabebesha bidhaa wauze mtaani, bidhaa kubwa anayowabebesha ni sabuni.
Mimi nazungumza kwa kuwa natarajia kuwa mzazi, hivyo ninapoona Mtoto mdogo kama huyo anafanyia hayo inamanisha nami Mtoto wangu ipo siku anaweza kufanyiwa kama hayo.
Mama Nancy ambaye ni mama wa Watoto wawili, anaonesha roho mbaya kiasi kwamba ni kama hana Watoto.
Naomba Waziri Gwajima kupitia Wizara yake amsaidie mtoto huyu pamoja na Watoto wengine wote wanaotolewa mkoani na rafiki wa mama Nancy kisha kuja mjini kutumikishwa.
Inawezekana wazazi wa Watoto hao ni masikini n ndio maana wanawaruhusu Watoto wao waje mjini bila kujua wanachopitia.
Tutalifanyia kazi kipindi kijacho.Kwa sasa tunataka mama Nancy aonekane kwenye fidiu anatumikisha watoto.Tungemwambia balozi tu,pengine wangeyamaliza kwa kununuliana mbege kimbo tatu.Pengine.Ila kwa waziri,mbona atajicheki!Mkuu sawa! Lakini wananchi mngekuwa mmeshamripoti kwa mjumbe then ofisi ya Kata nadhani hatua za awali huenda zingeanza kuchukuliwa dhidi ya Nancy.
I have life challenges of my own too you know not waste my repeating the obvious.Andika kwa kiswahili hayo maneno uliyoyaandika kwa kiingereza ili kutoa uwanda mpana wa uelewekaji.Usiandike kama JF ni jopo la maprofesa wanajadili namna ya kuchenjua makinikia ya Buzwagi.Wigwa Mwanamalundi?😎