DOKEZO Mtoto wa Miaka 10 ameajiriwa kazi za nyumbani Kimara Stop Over, ananyanyaswa sana, Waziri Gwajima msaada wako unahitajika

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Sawasawa ndugu balozi wa nyumba-kumi.Viwango vyako vipo juu.Wewe ni wa kuwa kwenye ujumbe wa SSH anapoenda nchi za ng'ambo! Obrigado!
 
Kila kitu Dorothea Dorothea.

Hii nchi watu wajinga wanazidi kuzagaa
 
Wewe lijinga mno tena sana. Inakuwaje unashindwa kuelewa JF imesaidia wengi.
Mpe elimu polepole.Badala amshukuru mleta taarifa,anamshutumu na kumbeza.Je,asingeleta taarifa,yeye mlalamikaji angeijulia wapi?Tutakomeshaje mienendo mibaya kama hiyo kwa kuifanya ni midogo tu(kuidogosha)?Swali ni,Je, ni kosa kumpasha habari waziri?
 
Kweli kabisa, yaani mi nakumbuka kuna issue hapa nilishaileta yaani ilisaidia kuokoa maisha. Huyu jamaa ningekuwa moderator ningelamba BAN la siku kabisa
 
Hatakiwi kupumzika coz kazi yake ni ya kila sekunde
Na tunampima na kumuongezea uwajibikaji(CV njema) ndugu waziri.Kwani yeye kasema amechoka malalamiko au kazi?Kwa nini tumjibie waziri?Kwani tumemletea miugomvi yetu na wapenzi wetu kuhusu kununuliana nguo za sikukuu?
 
apo wanachukulia simple sababu ni mtoto sijui wanaona kama ni kakitu kadogo hakapaswi kuhangaikiwa na uongozi wa juu,,,,ila wangejua ....... inauma sana aseee.
 
mawaziri wa siku hizi wataanza kusuluhisha hadi ndoa za watu
 
apo wanachukulia simple sababu ni mtoto sijui wanaona kama ni kakitu kadogo hakapaswi kuhangaikiwa na uongozi wa juu,,,,ila wangejua ....... inauma sana aseee.
Nimelia sana kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 40.🤔🤔🤔
 
Sawasawa ndugu balozi wa nyumba-kumi.Viwango vyako vipo juu.Wewe ni wa kuwa kwenye ujumbe wa SSH anapoenda nchi za ng'ambo! Obrigado!
Maswala ya health and social care; naweza jiita mtaalamu.

Ni complicated issues kwa Tanzania sijamsikia mtu mwenye uelewa mpana na mwenye qualification sahihi kwenye sector ya afya kumzidi Dorothy Gwajima.

Ni hivi kwenye afya Dorothy Gwajima sio tu kwamba yeye mwenyewe ni medic she is also trained in management that includes finance aspects kama biashara ya afya, auditing and understands regulations za afya.

Tatizo la Dorothy Gwajima she is too girly tofauti na wataalamu wengi wa kike, lakini akisema akupigie health audit service ya papo kwa hapo (na kama Unaufahamu wa hayo mambo na namna huduma inavyokuwa regulated).

Niamini nikilwambia Dorothy Gwajima sio mzaha mzaha kwenye sector ya afya.

Hata huko services kwa standard za Tanzania hana mpinzani wa kumzidi: Iła kama nchi tunapwa.

Dorothy Gwajima is just too girly (anaweza kulia hovyo kwa mambo rahisi akawakera wengine) but trust me she is genius.

Katika wanawake waliłoko bungeni labda Ndalichako anaweza kuwa akili kubwa ambazo hawezi zisibitosha.

Vinginevyo Dorothy Gwajima kwenye kichambio chake anaweza kukuingizia concepts za quantum physics, WHO regulations na concepts za ‘International Standards of Auditing wakati anakukagua kama kilaza uwezi muelewa.

Dorothy Gwajima is something, her demeanour shouldn’t fool you; she is just girly but a very clever one.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…