Sawasawa ndugu balozi wa nyumba-kumi.Viwango vyako vipo juu.Wewe ni wa kuwa kwenye ujumbe wa SSH anapoenda nchi za ng'ambo! Obrigado!
Maswala ya health and social care; naweza jiita mtaalamu.
Ni complicated issues kwa Tanzania sijamsikia mtu mwenye uelewa mpana na mwenye qualification sahihi kwenye sector ya afya kumzidi Dorothy Gwajima.
Ni hivi kwenye afya Dorothy Gwajima sio tu kwamba yeye mwenyewe ni medic she is also trained in management that includes finance aspects kama biashara ya afya, auditing and understands regulations za afya.
Tatizo la Dorothy Gwajima she is too girly tofauti na wataalamu wengi wa kike, lakini akisema akupigie health audit service ya papo kwa hapo (na kama Unaufahamu wa hayo mambo na namna huduma inavyokuwa regulated).
Niamini nikilwambia Dorothy Gwajima sio mzaha mzaha kwenye sector ya afya.
Hata huko services kwa standard za Tanzania hana mpinzani wa kumzidi: Iła kama nchi tunapwa.
Dorothy Gwajima is just too girly (anaweza kulia hovyo kwa mambo rahisi akawakera wengine) but trust me she is genius.
Katika wanawake waliłoko bungeni labda Ndalichako anaweza kuwa akili kubwa ambazo hawezi zisibitosha.
Vinginevyo Dorothy Gwajima kwenye kichambio chake anaweza kukuingizia concepts za quantum physics, WHO regulations na concepts za ‘International Standards of Auditing wakati anakukagua kama kilaza uwezi muelewa.
Dorothy Gwajima is something, her demeanour shouldn’t fool you; she is just girly but a very clever one.