DOKEZO Mtoto wa Miaka 10 ameajiriwa kazi za nyumbani Kimara Stop Over, ananyanyaswa sana, Waziri Gwajima msaada wako unahitajika

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hapa mtaani kuna mama mmoja anaitwa Mama Nancy amemuajiri mtoto ambaye kwa umri sina uhakika lakini nahisi ana umri wa miaka 9 au 10, ameajiriwa kama house girl.

Kibaya zaidi Mama Nancy amekuwa akimnyanyasa huyo mtoto, anampiga anamfokea na inadaiwa amemkataza kuzungumza na watu wengine nje ya familia yake ili wasije wakamfungua akili.

Mtoto huyo amekuwa akiishi kinyonge muda mwingi, anapata mateso makali tena ya waziwazi ambayo sisi majirani tunaona, vipi kuhusu yale ambayo hatuyaoni yanayofanyika kwa ndani?

Mtaa unaoishi na ambao ndio mhusika huyo anapatikana unaitwa Umoja Street, ni Kimara Stop Over (Dar es Salaam).

Mtu ambaye anataka kushuhudia au kama Serikali inataka kufuatilia, wakifika hapo Stop Over, waulizie kwa Dereva Bodaboda kuwa wawapeleke Mtaa wa Dkt. Kayuni au Kanisa la Mabati.

Wakifika hapo nyumba hiyo ina geti la kijivu, chumba cha kwanza cha wapangaji, ndipo anaposhi mama huyo.

Mama huyo ni Mwalimu, anafundisha Shule ya Msingi ipo mitaa hiyohiyo ya Kimara.

Mtoto huyo ameajiriwa hapo wiki za hivi karibuni, ametokea nje ya Dar, aliyemleta ni mama mmoja (rafiki wa Mama Nancy) ambaye kazi yake anachukua Watoto wadogowadogo kama huyo house girl kisha anawabebesha bidhaa wauze mtaani, bidhaa kubwa anayowabebesha ni sabuni.

Mimi nazungumza kwa kuwa natarajia kuwa mzazi, hivyo ninapoona Mtoto mdogo kama huyo anafanyia hayo inamanisha nami Mtoto wangu ipo siku anaweza kufanyiwa kama hayo.

Mama Nancy ambaye ni mama wa Watoto wawili, anaonesha roho mbaya kiasi kwamba ni kama hana Watoto.

Naomba Waziri Gwajima kupitia Wizara yake amsaidie mtoto huyu pamoja na Watoto wengine wote wanaotolewa mkoani na rafiki wa mama Nancy kisha kuja mjini kutumikishwa.

Inawezekana wazazi wa Watoto hao ni masikini n ndio maana wanawaruhusu Watoto wao waje mjini bila kujua wanachopitia.
Habari za mchana. Ahsante kwa taarifa. Na hongera kwa ulinzi wa watoto. TUNAFUATILIA.

Ushauri: tafadhali siku ingine leteni taarifa za awali kimya kimya operesheni ifanyike kisha mje na taarifa wakati mtuhumiwa tayari Yuko nguvuni. Maana huenda akawa naye Yuko huku kashasoma halafu.......

Kwa ajili yenu wote tafadhali pokeeni mawasiliano yetu 👇
Wizara ya Jamii iko kiganjani mwa jamii kwa ajili ya taarifa:

Piga simu na; 0734986503/ 0262160 250

Piga na kutuma ujumbe kwenye 0774112233/ 0769608130/ 0766400168.

Kwa taarifa za ukatili wa watoto chini ya umri wa miaka 18, saa 24 piga 116.

Iwapo atahitajika Waziri mwenye dhamana andika ujumbe na kutuma kwenda na; 0765345777 nakala 0734124191.

Tafadhali mpatie na mwingine hizi habari njema Ili tushirikiane kupiga vita ukatili kwa watoto.

IGP naye ametoa namba yake 0699998899.

Ahsanteni Sana🤝
 
Muitieni watu wa ustawi wa jamii, hili ni jambo dogo sana kwa waziri, kuna mamlaka za serikali za mitaa na wajumbe ambao wanapaswa kushughulika na hili
 
Yaani hata hili hadi Gwajima?

Nyie Mlio kimara hakuna mnachoweza kufanya?

Watanzania tumekua watu kulalama sana

Tuchukue hatua cha kwa haraka
 
Nakukubali sana.

Hili la kutoa taarifa kimya kimya inabidi ulitolee elimu public na pia utuhakikishie ulinzi wa mtoa taarifa.
 
Muitieni watu wa ustawi wa jamii, hili ni jambo dogo sana kwa waziri, kuna mamlaka za serikali za mitaa na wajumbe ambao wanapaswa kushughulika na hili
Ahsante Sana neno lako ni neno jema sana 🤝 wizara ikiwa rufaa ya mwisho inapendeza Ili pia, isaidie kupata na mrejesho wa huduma za ngazi ya kabla ya wizara. Ili hatua stahiki zichukuliwe za pongezi au kinyume chake.
 
Yaani hata hili hadi Gwajima?

Nyie Mlio kimara hakuna mnachoweza kufanya?

Watanzania tumekua watu wa hovyo sana
Ahsante Sana. Kweli hata mimi hushangazwa Sana ila ndiyo hivyo kama kiongozi mtumishi unajikuta kuliacha hewani inakuwa ngumu. Unajiuliza, hivi ni wananchi hawajawasilisha kwenye ofisi stahiki au ofisi stahiki hazijawapa huduma?🤔
 
Habari za mchana. Ahsante kwa taarifa. Na hongera kwa ulinzi wa watoto. TUNAFUATILIA.

Ushauri: tafadhali siku ingine leteni taarifa za awali kimya kimya operesheni ifanyike kisha mje na taarifa wakati mtuhumiwa tayari Yuko nguvuni. Maana huenda akawa naye Yuko huku kashasoma halafu.......

Kwa ajili yenu wote tafadhali pokeeni mawasiliano yetu 👇
Wizara ya Jamii iko kiganjani mwa jamii kwa ajili ya taarifa:

Piga simu na; 0734986503/ 0262160 250

Piga na kutuma ujumbe kwenye 0774112233/ 0769608130/ 0766400168.

Kwa taarifa za ukatili wa watoto chini ya umri wa miaka 18, saa 24 piga 116.

Iwapo atahitajika Waziri mwenye dhamana andika ujumbe na kutuma kwenda na; 0765345777 nakala 0734124191.

Tafadhali mpatie na mwingine hizi habari njema Ili tushirikiane kupiga vita ukatili kwa watoto.

IGP naye ametoa namba yake 0699998899.

Ahsanteni Sana🤝
Tunashukuru kwa ufatiliaji ubarikiwe Sana Mama
 
Ahsante Sana. Kweli hata mimi hushangazwa Sana ila ndiyo hivyo kama kiongozi mtumishi unajikuta kuliacha hewani inakuwa ngumu. Unajiuliza, hivi ni wananchi hawajawasilisha kwenye ofisi stahiki au ofisi stahiki hazijawapa huduma?🤔
Kiongozi wetu pole sana

Nafahamu ukubwa ni jalala… na kwakweli unakwenda beyond waziri wa kawaida kupambana na ukatili pamoja na yote yanayoweka vulnerable people na wenye mahitaji maalum… USICHOKE!!

lakini Kama watanzania inabidi tubadilike turudi kwenye misingi ya baba wa taifa, familia zilikua maji ya jamii nzima!!

Tukiamua kusimamia haki na wajibu kunzia grass root levels, tutafika mbali

Hata shida za divorce, uhuni, ufisadi nk zitapungua

Labda kwa kuanzia , watendaji wa kata, na maafisa ustawi na maafisa elimu wapewe specific scope ya masuala ta jamii na yake integrated to wizara yako pamoja na tamisemi na solutions ziwe zinapatikana kule ili waziri uwe unapokea taarifa za usimamizi wa sera

Na ulivyo strong kwenye monitoring and evaluation Nina imani utatengeneza very strong framework ya hizi kadhia including whistle blowing policy

Uko juu sana
 
Ahsante Sana. Kweli hata mimi hushangazwa Sana ila ndiyo hivyo kama kiongozi mtumishi unajikuta kuliacha hewani inakuwa ngumu. Unajiuliza, hivi ni wananchi hawajawasilisha kwenye ofisi stahiki au ofisi stahiki hazijawapa huduma?🤔
Tatizo ni ubinafsi Mh. Watu wanashuhudia maovu hayo lakini wanaangalia tu kwa ile hali ya kujiangalia yeye tu. Tukemee haya maovu kwa nguvu zote huko mitaani.
 
Sometimes watu huwa wana exagrete mambo..
Kama mnadhani ni rahisi kulea na kuishi na mtoto wa mtu ,jaribuni na nyie .
 
Siku hizi Mitaa Ina majina na nyumba zina namba..ungeweka na namba ya nyumba ingekuwa rahisi kupafikia
 
Kama kweli haya uyasemayo mnayaona maanayake mtaa mzima ama majirani wote mnamuogopa huto mama nacy right..🤔
Yaani hata balozi hakuna hapo mtaani kwenu mkuu...!!

Kwani mmeshindwa kumshiraki huyo mama nancy hata basi kwa mwenyekiti wa mtaa..??

Anyways, sijui namna ninavyo litazama hili jambo mimi kama mzazi ningekua nimesha chukua hatua hata kabla, na kisha ningekuja hapa jamvini kulitolea taarifa ili wahusika waweze endelea na hatua stahiki
Balozi shughuli zao zinahusu chama chao cha kisiasa. Waambie kuna flana na kofia za chama wagawane hapo uhakika ni wa juu mno na ndio kazi yao.
 
Hapa mtaani kuna mama mmoja anaitwa Mama Nancy amemuajiri mtoto ambaye kwa umri sina uhakika lakini nahisi ana umri wa miaka 9 au 10, ameajiriwa kama house girl.

Kibaya zaidi Mama Nancy amekuwa akimnyanyasa huyo mtoto, anampiga anamfokea na inadaiwa amemkataza kuzungumza na watu wengine nje ya familia yake ili wasije wakamfungua akili.

Mtoto huyo amekuwa akiishi kinyonge muda mwingi, anapata mateso makali tena ya waziwazi ambayo sisi majirani tunaona, vipi kuhusu yale ambayo hatuyaoni yanayofanyika kwa ndani?

Mtaa unaoishi na ambao ndio mhusika huyo anapatikana unaitwa Umoja Street, ni Kimara Stop Over (Dar es Salaam).

Mtu ambaye anataka kushuhudia au kama Serikali inataka kufuatilia, wakifika hapo Stop Over, waulizie kwa Dereva Bodaboda kuwa wawapeleke Mtaa wa Dkt. Kayuni au Kanisa la Mabati.

Wakifika hapo nyumba hiyo ina geti la kijivu, chumba cha kwanza cha wapangaji, ndipo anaposhi mama huyo.

Mama huyo ni Mwalimu, anafundisha Shule ya Msingi ipo mitaa hiyohiyo ya Kimara.

Mtoto huyo ameajiriwa hapo wiki za hivi karibuni, ametokea nje ya Dar, aliyemleta ni mama mmoja (rafiki wa Mama Nancy) ambaye kazi yake anachukua Watoto wadogowadogo kama huyo house girl kisha anawabebesha bidhaa wauze mtaani, bidhaa kubwa anayowabebesha ni sabuni.

Mimi nazungumza kwa kuwa natarajia kuwa mzazi, hivyo ninapoona Mtoto mdogo kama huyo anafanyia hayo inamanisha nami Mtoto wangu ipo siku anaweza kufanyiwa kama hayo.

Mama Nancy ambaye ni mama wa Watoto wawili, anaonesha roho mbaya kiasi kwamba ni kama hana Watoto.

Naomba Waziri Gwajima kupitia Wizara yake amsaidie mtoto huyu pamoja na Watoto wengine wote wanaotolewa mkoani na rafiki wa mama Nancy kisha kuja mjini kutumikishwa.

Inawezekana wazazi wa Watoto hao ni masikini n ndio maana wanawaruhusu Watoto wao waje mjini bila kujua wanachopitia.
Kweli adui wa binadamu ni binadamu!
Mwalimu, ana watoto halafu anafanyia ukatili mtoto!
 
Ahsante Sana neno lako ni neno jema sana 🤝 wizara ikiwa rufaa ya mwisho inapendeza Ili pia, isaidie kupata na mrejesho wa huduma za ngazi ya kabla ya wizara. Ili hatua stahiki zichukuliwe za pongezi au kinyume chake.
Asante sana Mama,kazi yako ni nzuri, barikiwa
 
Hapa mtaani kuna mama mmoja anaitwa Mama Nancy amemuajiri mtoto ambaye kwa umri sina uhakika lakini nahisi ana umri wa miaka 9 au 10, ameajiriwa kama house girl.

Kibaya zaidi Mama Nancy amekuwa akimnyanyasa huyo mtoto, anampiga anamfokea na inadaiwa amemkataza kuzungumza na watu wengine nje ya familia yake ili wasije wakamfungua akili.

Mtoto huyo amekuwa akiishi kinyonge muda mwingi, anapata mateso makali tena ya waziwazi ambayo sisi majirani tunaona, vipi kuhusu yale ambayo hatuyaoni yanayofanyika kwa ndani?

Mtaa unaoishi na ambao ndio mhusika huyo anapatikana unaitwa Umoja Street, ni Kimara Stop Over (Dar es Salaam).

Mtu ambaye anataka kushuhudia au kama Serikali inataka kufuatilia, wakifika hapo Stop Over, waulizie kwa Dereva Bodaboda kuwa wawapeleke Mtaa wa Dkt. Kayuni au Kanisa la Mabati.

Wakifika hapo nyumba hiyo ina geti la jeusi, chumba cha kwanza cha wapangaji, ndipo anaposhi mama huyo.

Mama huyo ni Mwalimu, anafundisha Shule ya Msingi ipo mitaa hiyohiyo ya Kimara.

Mtoto huyo ameajiriwa hapo wiki za hivi karibuni, ametokea nje ya Dar, aliyemleta ni mama mmoja (rafiki wa Mama Nancy) ambaye kazi yake anachukua Watoto wadogowadogo kama huyo house girl kisha anawabebesha bidhaa wauze mtaani, bidhaa kubwa anayowabebesha ni sabuni.

Mimi nazungumza kwa kuwa natarajia kuwa mzazi, hivyo ninapoona Mtoto mdogo kama huyo anafanyia hayo inamanisha nami Mtoto wangu ipo siku anaweza kufanyiwa kama hayo.

Mama Nancy ambaye ni mama wa Watoto wawili, anaonesha roho mbaya kiasi kwamba ni kama hana Watoto.

Naomba Waziri Gwajima kupitia Wizara yake amsaidie mtoto huyu pamoja na Watoto wengine wote wanaotolewa mkoani na rafiki wa mama Nancy kisha kuja mjini kutumikishwa.

Inawezekana wazazi wa Watoto hao ni masikini n ndio maana wanawaruhusu Watoto wao waje mjini bila kujua wanachopitia.
Peleka taarifa hii Tweeter (x), Waziri ata react mara moja
 
Back
Top Bottom