sajo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,474
- 6,195
Kwani Waziri amekataa kuyashughulikia?Matatizo madogo kama haya ndio ayatolee taarifa Kwa waziri?. Hapo mtaani kwao hakuna mjumbe, serikali ya mtaa hakuna?. Mambo madogo kama haya yadhughurikiwe na waziri?.