Mtoto wa miaka 12 amejiteka akiwa na mdogo wake huko jijini Mwanza!

Lamamayeee😂😂😂😂.
Mtoto kaanza ujambazi mapeemaaa.
 
Flora ni mke wa mtu mtarajiwa, mumewe atapigwa na kitu kizito sana, hawezi kupata mchumba hapo mtaani kwao.
 
Malezi mabovu ni chanzo cha watoto kufanya maamuzi hatarishi😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…