Zouzoutz
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 1,883
- 2,732
Nimempenda huyo dogoHuyu Flora ana maisha ya Kibilionea mbele yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimempenda huyo dogoHuyu Flora ana maisha ya Kibilionea mbele yake.
Lamamayeee😂😂😂😂.Katika hali isiyo ya kawaida mtoto mmoja aliyefahamika kwa jina Frola Samson (12), mkazi wa wilaya ya Ilemela amepatikana baada ya msako wa Jeshi la polisi Mkoani Mwanza akiwa eneo la Buhongwa ambako alijificha yeye na mdogo wake aitwaye France Samson (8) huku akidanganya kuwa wametekwa na kutaka wazazi watume fedha ili waachiwe.
Inadaiwa kuwa watoto hao walitoweka nyumbani mnamo tarehe 4.7.2024, ambapo Frola aliiba pesa za Mama yake kiasi cha shilingi 150,000/= na kisha kutoweka na mdogo wake wakielekea Buhongwa ambako alianza kupiga simu kwa Mama yake mzazi akidai atumiwe pesa kwa ajili ya waliowateka ili wawaachie huru.
Hata hivyo Jeshi la Polisi mkoani humo baada ya kupokea taarifa na kufanya ufuatiliaji, limefanikiwa kuwapata watoto hao wakiwa salama huku wakiwa na simu, godoro na vyombo vingine vya matumizi ya ndani walivyonunua kwa kutumia pesa aliyoiba mtoto huyo.
East Africa
View attachment 3035069
malaika mwisho mwaka mmoja😭😭Mmeona jinsi watoto wa sikuizi walivyo,. Halafu atatokea mtu aseme watoto ni malaika sijui nini nini
Malezi mabovu ni chanzo cha watoto kufanya maamuzi hatarishi😂😂#HABARI Katika hali isiyo ya kawaida mtoto mmoja aliyefahamika kwa jina Frola Samson (12), mkazi wa wilaya ya Ilemela amepatikana baada ya msako wa Jeshi la polisi Mkoani Mwanza akiwa eneo la Buhongwa ambako alijificha yeye na mdogo wake aitwaye France Samson (8) huku akidanganya kuwa wametekwa na kutaka wazazi watume fedha ili waachiwe.
Inadaiwa kuwa watoto hao walitoweka nyumbani mnamo tarehe 4.7.2024, ambapo Frola aliiba pesa za Mama yake kiasi cha shilingi 150,000/= na kisha kutoweka na mdogo wake wakielekea Buhongwa ambako alianza kupiga simu kwa Mama yake mzazi akidai atumiwe pesa kwa ajili ya waliowateka ili wawaachie huru.
Hata hivyo Jeshi la Polisi mkoani humo baada ya kupokea taarifa na kufanya ufuatiliaji, limefanikiwa kuwapata watoto hao wakiwa salama huku wakiwa na simu, godoro na vyombo vingine vya matumizi ya ndani walivyonunua kwa kutumia pesa aliyoiba mtoto huyo.
#EastAfricaTV
View attachment 3035046
😂😂😂😂Hii Generation itatumaliza aseeeh
Hatari sana😂😂😂malaika mwisho mwaka mmoja😭😭
Hata kama ni malezi mabovu mkuu ila kujiteka na ku demand ransom kutoka kwa wazazi huo ni ugaidi...Malezi mabovu ni chanzo cha watoto kufanya maamuzi hatarishi😂😂