Mtoto wa miaka 16 ajiua baada ya picha zake za ngono kusambaa

Status
Not open for further replies.
Nilivyosikia habari hizi, nilitaka kusema hawa inafaa wawekwe katika uangalizi wa kuzuia kujiua (suicide watch).

Angehama hata nchi tu aende kuanza maisha mapya kwingine wasikomjua.
 
Sasa huyo baba mtu mzima kwa nini amerekod hilo tendo na anajua huyo ni bintiye jamani!?
 
You cant handlè success if you cant handle stress
 
Jizazi[emoji134][emoji134][emoji134]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah mkuu umetaja nyumbani huko kesi kama hizo zilikuepo na zipo za watoto wa kiume kibakwa na watoto wa kike kutongozwa na kusnza umalaya ndani ys miaka michache baada ya kuzaliwa kama vile mtoto kazaliwa miaka 12 iliyopita ns yeye anatongozwa mtihani sana.

Nina mdogo wangu anasoma huko huwa namjenga kisaikolojia kila baada ya siku mojs ama mbili namuweka wazi kuwa ushoga upo na matendo hsyo yapo ni mabaya sana.na ninampa hoja za wazi na mwenyewe anaona mpka sasa hivi nimekuwa kama motivational speaker wake mana huniskiliza kwa makini sana.

Huu ulimwengu sio wa kumficha mtoto kitu,ukimficha wengine wanamshawishi kwa njia ya kumfanganya na anaingia kwenye kundi.

Kuna mama mmoja alimfundisha mwanae kuwa usikubali mtu yeyote akuvue nguo na kukushika,awe atakae kuwa usikubali na ukimbie huku ukipiga kelele.

Basi mama yule kuna siku alienda na mwanae hospitali daktari anamvus nguo smchome sindani mbele ya mama yake yule mtoto bado hataki kabisa analia anamuambia mama yake kuwa sitaki kuvus nguo.
Mpaka mama mwenyewe ikabidi ampoze yule mtoto kuwa usijali mimi mama yako nipo na hiyo ni sindano tu.mtoto ndo akakubali.

Hizi ndo mindset tunatakiwa kuwapa watoto wetu yani ifikie hatua mwanao asimuamini mtu yeyote kuwa ni mwema mnooo kama vile shekhe au padre kwa sababu moyo wa mtu ni kichana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Wakuuu nimefuatilia hii story naona kama kuna yale mambo ya Ku divert attention.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…