Mtoto wa miaka 16 ajiua baada ya picha zake za ngono kusambaa

Mtoto wa miaka 16 ajiua baada ya picha zake za ngono kusambaa

Status
Not open for further replies.
Hawazaliwi nao ila huvuta na kushawishiwa na wafanyaji wa hilo janga la kisaikolojia baada ya hapo huwa janga zaidi na majuto mengi japo mbele za watu wanajiona wako sawa.
Ila haya mambo ya usagaji na ushoga magumu sana kuelewa. Na ukizoea ngumu sana kuacha mimi huwa naona ni kama ulemavu fulani wa kihisia ambao mtu huzaliwa nao. Mazingira naona yana mchango mdogo sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoto awe mzoefu ama not,hilo Lidume linalompaka Jelly mtoto wa miaka 16 ni Mtu au shetani mwenyewe mwenye umbo la binadamu??😳😳😳😳
 
Kuna mtu instagram jana katusumbua sana na hii Video mpaka katufungulisha group la whatsAPP kwaajili ya hii video ndio tukaipata
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom