Mtoto wa miaka 16 ajiua baada ya picha zake za ngono kusambaa

Mtoto wa miaka 16 ajiua baada ya picha zake za ngono kusambaa

Status
Not open for further replies.
Ni kweli usemacho mkuu kutokana na uzoefu wako

Lakini inakuwaje mtu kuharibiwa na akapata hisia kabisa za mapenzi ya jinsia moja (namaanisha kumpenda mwanamume/mwanamke mwenzie kama mpenzi)?

Nijuiavyo mimi unapobakwa unapata trauma(jeraha la kihisia) la muda mrefu ambalo si rahisi kusahau. Sasa mkuu inakuwaje hiyo kubakwa au kunajisiwa kumfanye mtu aendelee kupenda hilo tendo kwa muda mrefu?





Sent using Jamii Forums mobile app

First sexual experience huwa inamkaa kwenye akili na kuona yeye kazaliwa ili awe submissive kwa mwanaume mwenzie

bad enough anal sex ina pleasure pia hivyo atazoea na kuona ni part ya maisha yake (ndio maana mwanamke akiizoea asipofanyiwa huona kama hajaridhika).

Kuhusu true love kuwepo ni nadra unless kwa wale watu waliozaliwa hivyo ila kwa Tanzania, gay world is almost all about sex maana its illegal and can't guarantee any future attachment.

so most people wapo kwenye mahusiano for fun na huoa na kuanzisha familia kwa ajili ya future and to maintain their reputation in the society
 
Rest in peace baby girl.. siwezi kukuhukumu, hii dunia tulipewa na mambo yake mengi mengine ni mazito sana kuyahimili, rest easy beautiful [emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni maswala ya psychological hapo kiongozi, jambo usilolijua psychologically litakuwa sawa mpaka pale utapogundua kuwa upo wrong!

Kumbuka wengi wanafanyiwa mambo hayo katika umri mdogo, ataumia atabembelezwa mwisho wa siku anazoea!

So, kwake kwa kuwa anafanyiwa na mtu anayetegemea amuongoze vyema au role model wake linakuwa ni jambo sahihi kwake mpaka atapopata ufunuo.

Ila kwa mtu anayeelewa kama wewe sasa, ukilazimishwa ina maana hutarudia ukilipenda utaendelea! upo?

Mfano mwingine mdogo, wanawake wa Kikurya kabla ya elimu ya usawa na jinsia kuwafikia kwao kupigwa na kujeruhiwa ilikuwa ni sehemu ya upendo toka kwa mume. Wengi wamefunuka sasa, mpige uone!
Saww mkuu nakuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Where is the age of the girl reported?

And who is a minor in Africa, aren't these girls legally married and penetrated ?

Kenya statutory rape law is violated when an individual has consensual sexual contact with a person under age 18, although marriage is possible under age 18.
And where I am from (Tanzania) nothing less than age 18 is violated of law unless and if she is above 18 she has to be done with secondary education



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kenya statutory rape law is violated when an individual has consensual sexual contact with a person under age 18, although marriage is possible under age 18.
And where I am from (Tanzania) nothing less than age 18 is violated of law unless and if she is above 18 she has to be done with secondary education
So, what is the age of this girl ?????

And turning to statutory rape, how the hell can you marry a girl under 18 and be expected not to screw her ????
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom