Mtoto wa miaka 16 ajiua baada ya picha zake za ngono kusambaa

Status
Not open for further replies.
Hata Polisi walipomkamata Mchoma Kuruani watu waliona kaonewa.

Kumbe kasaidiwa ili wazee wa Takbiri wasimuue.
 
Ila nahisi wengi uzaliwa hivyo na wachache ni kutokana na mazingira kama usemavyo.

I regard homosexuality as some kind of emotional impairment.

Sent using Jamii Forums mobile app

Labda kwa Ulaya ndugu, ila kwa Africa wengi huharibiwa! Siandiki from nowhere naandika kwa uhakika na ninachokisema!

Kuna mradi MzeeBaba alipoingia tu aliupiga ban, nilishiriki kidogo katika ule mradi na ulinifanya nikajua mengi mno kupitia ule mradi! Niliweza kukaa na hayo makundi na kuongea nao friendly, wanafunguka haswa, hawafichagi kitu wale. Mpe bia tu, au ya kula!

Aliyeamua personally kuwa homosexual hawazidi watatu na ni kwa sababu ama aliishi na mtu wa hivyo au kuna connection ilimpitia, mostly wameharibiwa na ndugu hasa wajomba, baba wadogo/wakubwa, makaka wakubwa sijui unalea mwanao na kijana wa kaka yako wanalala room moja! Watchout!

Mabinti halikadhalika, anapitia magumu ahueni anapata kwa kufanyishwa hayo mambo!

Jiulize tu mkuu, hapa Tanzania pamoja na utandawazi bado ukienda miji midogo kama Nachingwea ukamuuliza mtoto wa darasa la saba juu ya ushoga hajui, lakini ukidadisi sasa katika umri huohuo wapo waliokwishafanyiwa huo mchezo ila ndo hivyo hajui kama ni ushoga au laah!
 
Kwel kabisa hilo, uswahilini watoto wanaharibiwa sana. Ndo maana saiv kuna watu hawakaribishi ndugu wa kiume waishi kwao, sio hawawapendi no ila wanaogopa tu usalama wa watoto wao.
Huko shule za bweni ndo usiseme mmh so sad!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Mambo unaweza fanya ikasababisha madhara makubwa sana. Alivyobonyeza tuu recording. Ndo imesababisha kifo Cha binti na huyoo jamaa kufungwa kifungo Cha maisha. Kujirecord madhara Ni makubwa kulipo faida.
 
Labda kwa Ulaya ndugu, ila kwa Africa wengi huharibiwa! Siandiki from nowhere naandika kwa uhakika na ninachokisema!

Kuna mradi MzeeBaba alipoingia tu aliupiga ban, nilishiriki kidogo katika ule mradi na ulinifanya nikajua mengi mno kupitia ule mradi! Niliweza kukaa na hayo makundi na kuongea nao friendly, wanafunguka haswa, hawafichagi kitu wale. Mpe bia tu, au ya kula!

Aliyeamua personally kuwa homosexual hawazidi watatu na ni kwa sababu ama aliishi na mtu wa hivyo au kuna connection ilimpitia, mostly wameharibiwa na ndugu hasa wajomba, baba wadogo/wakubwa, makaka wakubwa sijui unalea mwanao na kijana wa kaka yako wanalala room moja! Watchout!

Mabinti halikadhalika, anapitia magumu ahueni anapata kwa kufanyishwa hayo mambo!

Jiulize tu mkuu, hapa Tanzania pamoja na utandawazi bado ukienda miji midogo kama Nachingwea ukamuuliza mtoto wa darasa la saba juu ya ushoga hajui, lakini ukidadisi sasa katika umri huohuo wapo waliokwishafanyiwa huo mchezo ila ndo hivyo hajui kama ni ushoga au laah!
Ni kweli usemacho mkuu kutokana na uzoefu wako

Lakini inakuwaje mtu kuharibiwa na akapata hisia kabisa za mapenzi ya jinsia moja (namaanisha kumpenda mwanamume/mwanamke mwenzie kama mpenzi)?

Nijuiavyo mimi unapobakwa unapata trauma(jeraha la kihisia) la muda mrefu ambalo si rahisi kusahau. Sasa mkuu inakuwaje hiyo kubakwa au kunajisiwa kumfanye mtu aendelee kupenda hilo tendo kwa muda mrefu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaotakiwa kuwalea ndio wanawaharibu. Very sad

RIP little girl
 
Ni kweli usemacho mkuu kutokana na uzoefu wako

Lakini inakuwaje mtu kuharibiwa na akapata hisia kabisa za mapenzi ya jinsia moja (namaanisha kumpenda mwanamume/mwanamke mwenzie kama mpenzi)?

Nijuiavyo mimi unapobakwa unapata trauma(jeraha la kihisia) la muda mrefu ambalo si rahisi kusahau. Sasa mkuu inakuwaje hiyo kubakwa au kunajisiwa kumfanye mtu aendelee kupenda hilo tendo kwa muda mrefu?

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni maswala ya psychological hapo kiongozi, jambo usilolijua psychologically litakuwa sawa mpaka pale utapogundua kuwa upo wrong!

Kumbuka wengi wanafanyiwa mambo hayo katika umri mdogo, ataumia atabembelezwa mwisho wa siku anazoea!

So, kwake kwa kuwa anafanyiwa na mtu anayetegemea amuongoze vyema au role model wake linakuwa ni jambo sahihi kwake mpaka atapopata ufunuo.

Ila kwa mtu anayeelewa kama wewe sasa, ukilazimishwa ina maana hutarudia ukilipenda utaendelea! upo?

Mfano mwingine mdogo, wanawake wa Kikurya kabla ya elimu ya usawa na jinsia kuwafikia kwao kupigwa na kujeruhiwa ilikuwa ni sehemu ya upendo toka kwa mume. Wengi wamefunuka sasa, mpige uone!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom