Mtoto wa miaka 16 ajiua baada ya picha zake za ngono kusambaa

Status
Not open for further replies.
Kuna dogo alikuja form one nikiwa A level shule moja ya kaskazini ya serikali. Alitoka boarding shule ya Mwanza na alikuwa uko tokea mdogo. Kwao ni wa mwisho na ana dada wawili. Yule dogo alikuwa mlegevu sana yani kuanguka kidogo tu anaumia, kubeba ndoo maji yanamwagika. Dogo anajua masuala ya fashion na mapambo mpaka party za wanafunzi anaitwa kusimamia kazi hizo.

Mimi nikawa namkazania kwanini anakaa sana na watoto wa kike na kujichekesha ovyo. Nilikuwa kama brother wake nikipokea hela yake ya matumizi na kusimamia masuala yake akiumwa na hata alipolazwa ndo nikaja gundua dogo hamna kitu kipindi yuko form two. Nikatafuta rafiki zake walotoka naye primary ndo wakanieleza alivokuwa tokea kule.
Nikakagua vitu vyake maana nilikuwa nakaa funguo zake nikakuta vitu vya kikekike. Mtoto wa kiume badala ya kuchora SpiderMan au Thor yeye amejaza michoro ya Sofia the mermaid na Balerina.

Nikaja shtuka kuona kimemo kutoka kwa rafiki yake wa darasa moja waliotoka shule moja akimjulisha wakutane saa tatu usiku mapema kabla watu hawajatoka prep. Wale madogo walikuwa close sana sema sitaki kuamini kabisa kitu hiki wanafanyiana. Huyu mwingine alihamishwa na baba yake kabla sijamfatilia sana. Huyu aliyebaki akaja kumtogoza dogo wa form three wa kiume kwamba anampenda. Hiyo kesi tukaimaliza chinichini kwanza angenidhalilisha maana nilijulikana kama kaka yake. Nikachukua ushaidi kutaka kumueleza mama yake nikafikiria moyo ukasita. Hatimaye nikaacha dunia izunguke.
 
Kwenye habari kama hizi kuna wanaojidai wana huruma sanaa pia kuna wanaojidai hawana huruma kabisaa... wote hao ni waongo tu mimi huwa nawachora tu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…