DJkus JF-Expert Member Joined Nov 9, 2018 Posts 354 Reaction score 469 Feb 12, 2019 #1 Je mtoto wa miaka hiyo anaweza kuelezea hali mbali mbali anazosikia, kuziona au kuzihisi nazo zikawa ni halisi na zikahitaji kufanyiwa kazi kulingana na anavyoelezea? Msaada wenu waungwana Sent using Jamii Forums mobile app
Je mtoto wa miaka hiyo anaweza kuelezea hali mbali mbali anazosikia, kuziona au kuzihisi nazo zikawa ni halisi na zikahitaji kufanyiwa kazi kulingana na anavyoelezea? Msaada wenu waungwana Sent using Jamii Forums mobile app
Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,048 Reaction score 15,465 Feb 12, 2019 #2 Inategemea. Hata mika mitatu anaweza sema. Na pia hata wa miaka 8 anaweza shindwa kusema
DJkus JF-Expert Member Joined Nov 9, 2018 Posts 354 Reaction score 469 Feb 12, 2019 Thread starter #3 Hazchem plate said: Inategemea. Hata mika mitatu anaweza sema. Na pia hata wa miaka 8 anaweza shindwa kusema Click to expand... Asante kwa hilo maana kaka yake hawezi kuongea nikilinganisha na mdogo wake Sent using Jamii Forums mobile app
Hazchem plate said: Inategemea. Hata mika mitatu anaweza sema. Na pia hata wa miaka 8 anaweza shindwa kusema Click to expand... Asante kwa hilo maana kaka yake hawezi kuongea nikilinganisha na mdogo wake Sent using Jamii Forums mobile app
SACO JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 2,623 Reaction score 3,397 Feb 12, 2019 #4 DJkus said: Asante kwa hilo maana kaka yake hawezi kuongea nikilinganisha na mdogo wake Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... wamepishana umri gani
DJkus said: Asante kwa hilo maana kaka yake hawezi kuongea nikilinganisha na mdogo wake Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... wamepishana umri gani
DJkus JF-Expert Member Joined Nov 9, 2018 Posts 354 Reaction score 469 Feb 12, 2019 Thread starter #5 SACO said: wamepishana umri gani Click to expand... Miaka 2 unusu Sent using Jamii Forums mobile app