Mtoto wa miaka 4 anaweza kujielezea?

Mtoto wa miaka 4 anaweza kujielezea?

DJkus

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2018
Posts
354
Reaction score
469
Je mtoto wa miaka hiyo anaweza kuelezea hali mbali mbali anazosikia, kuziona au kuzihisi nazo zikawa ni halisi na zikahitaji kufanyiwa kazi kulingana na anavyoelezea?

Msaada wenu waungwana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea. Hata mika mitatu anaweza sema. Na pia hata wa miaka 8 anaweza shindwa kusema
 
Back
Top Bottom