Mtoto wa miaka 6 adaiwa kufariki baada ya umeme kukatika akifanyiwa upasuaji. Mkurugenzi asema hawana uwezo wa kufanya upasuaji wilayani humo

Nipo karibu na FQ hotel hapa mbeya huwa hizo stand by generator zipo active sana mana huwezi kukuta wapo giza au hakuna umeme hyo ni biashara tu.

Lkn tukisema umeme wa serikali umesababisha tunakosea mana unajua ni maisha ya watu kwanini hawaweki hizo generator kama mahitaji ya msingi ya hospital ( uongozi wa hospital wameshindwa kutekeleza majukumu yake )

Lakini kama walitoa mahitaji yao kama hospital na wameshindwa kupewa kusingekuwa na ulazima wa kuweka hyo huduma kuepusha vifo kama hivyo.
 
Moja: Hii nchi iache utani, tupate umeme wa uhakika..
Mbili: Inamaanisha hio Hospitali hawajui matatizo haya ya umeme na hawana back-up?
Tatu: RIP, Mtoto
 
 

Attachments

  • IMG_6743.MP4
    19.5 MB
Inasikitisha sana
 
Huko kwa January Kamba ndo safi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…