Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Marcus Jordan Mtoto wa Legend wa mpira wa kikapu duniani na gwiji wa NBA Michael Jordan, ameingia kwenye skendo kubwa na ya aibu baada ya kupigwa picha akiwa anatumia madawa ya kulevywa aina ya Cocaine,-
Picha hizi zimepigwa na mapaparazi wa Ufaransa ambao kwao ni msimu mkubwa wa mapato kutokana na mastaa wengi nchini humo wakatoi huu wa michezo ya Olympics, Marcus alionekana akivuta unga mweupe wakati wa chakula cha mchana kwenye hotel moja huko Ufaransa.