Mtoto wa Michael Jordan, amepigwa picha akiwa anatumia dawa za kulevywa aina ya Cocaine

ukiwa na mitonyo mingi na matumizi mengi pia.
iyo ni starehe ya watu wenye nazo wanatumia vitu konk saana na uwez skia amekua chiz.
kama unatumia izo mazaga yaaan unazo,kikwetu kwetu ni skendo lkn wao ni ufahari
 
Kutumia cocaine ndio skendo kubwa? Unaishi dunia ipi wewe?
 
Hahhaa eti skendo kubwa.
Coke is a party drug,have tried certain times ila sikuifurahia. Its overated. Siku ukibahatika kualikwa kwa sherehe za watoto wa kishua wa IST and other foreigners hasa wamarekani utagundua coke is very common party drug.
Kwahiyo Whitney Houston alikuwa anakulaga Lowest grade.. Akili za kijinga
 
ukiwa na mitonyo mingi na matumizi mengi pia.
iyo ni starehe ya watu wenye nazo wanatumia vitu konk saana na uwez skia amekua chiz.
kama unatumia izo mazaga yaaan unazo,kikwetu kwetu ni skendo lkn wao ni ufahari
Hizi lugha laini laini ndio ziliwaingiza kina chid ngwair n.k kwenye unga
 
Hahhaa eti skendo kubwa.
Coke is a party drug,have tried certain times ila sikuifurahia. Its overated. Siku ukibahatika kualikwa kwa sherehe za watoto wa kishua wa IST and other foreigners hasa wamarekani utagundua coke is very common party drug.
Takataka
 
Watoto wengi wakishua wanashindwa kujitoa kwenye vivuli vya wazazi wao. Huishia kufanya mambo ya ajabu. Hata hivyo Cocaine haina shida kihivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ