mangimweusi Member Joined Sep 14, 2018 Posts 51 Reaction score 38 Sep 27, 2018 #1 Waungwana naomba msaada, Mtoto wa miezi 4 kitovu chake bado hakijarudi ndani vizuri. Je, hii ni sawa na kama sio sawa ninaweza kufanya nini ili kiweze kurudi?
Waungwana naomba msaada, Mtoto wa miezi 4 kitovu chake bado hakijarudi ndani vizuri. Je, hii ni sawa na kama sio sawa ninaweza kufanya nini ili kiweze kurudi?
Rahabu JF-Expert Member Joined Jan 21, 2014 Posts 5,526 Reaction score 3,341 Sep 27, 2018 #2 Wengine wanaweka shilingi sasa sijui kama inasaidia au laa
mangimweusi Member Joined Sep 14, 2018 Posts 51 Reaction score 38 Sep 27, 2018 Thread starter #3 Rahabu said: Wengine wanaweka shilingi sasa sijui kama inasaidia au laa Click to expand... Hii nimesikia lkn cjajua ni xhiling ip
Rahabu said: Wengine wanaweka shilingi sasa sijui kama inasaidia au laa Click to expand... Hii nimesikia lkn cjajua ni xhiling ip
Bbade JF-Expert Member Joined Mar 15, 2013 Posts 6,725 Reaction score 21,818 Sep 27, 2018 #4 mangimweusi said: waungwan msaada mtoto wa miezi 4 kitovu bado kurud ndan fresh je hii ni sawa na kam sio sawa niweza kufany nn ilikiweze kurud maan daah Click to expand... Kuna nyuzi zipo kuhusiana na hili tatizo. ..zipitie upate mwanga. Kitovu kikubwa cha mtoto - JamiiForums Nini chanzo, dawa kwa mtoto kuzaliwa na kitovu kikubwa - JamiiForums
mangimweusi said: waungwan msaada mtoto wa miezi 4 kitovu bado kurud ndan fresh je hii ni sawa na kam sio sawa niweza kufany nn ilikiweze kurud maan daah Click to expand... Kuna nyuzi zipo kuhusiana na hili tatizo. ..zipitie upate mwanga. Kitovu kikubwa cha mtoto - JamiiForums Nini chanzo, dawa kwa mtoto kuzaliwa na kitovu kikubwa - JamiiForums