Mtoto wa miezi 4 kitovu chake bado kurud ndani vizuri, nini kifanyike?

Mtoto wa miezi 4 kitovu chake bado kurud ndani vizuri, nini kifanyike?

mangimweusi

Member
Joined
Sep 14, 2018
Posts
51
Reaction score
38
Waungwana naomba msaada,

Mtoto wa miezi 4 kitovu chake bado hakijarudi ndani vizuri. Je, hii ni sawa na kama sio sawa ninaweza kufanya nini ili kiweze kurudi?
 
Wengine wanaweka shilingi sasa sijui kama inasaidia au laa
 
Back
Top Bottom