Mtoto wa miezi minne kulia sana

Kuna mtoto ukimuangalia tu huna haja ya kupima DNA,hahaa
Kapime DNA kama kweli ni wa kwako, labda mizimu ya baba yake imegoma usimshike mtoto wao!!!
πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Kuna mtoto ukimuangalia tu huna haja ya kupima DNA,hahaa
Nilikuwa nakutania tu mkuu!!
Watoto wanavijitabia vyao utadhani ni watu wazima. Hilo litaisha tu. Ingekuwa analia mfululizo ningehisi labda hashibi maziwa ya mama yake.
 
Kwakweli watoto ni watu wazima wasioongea maana wana vijitabia hata wakubwa huwa hatuwaelewi kabisa
Nilikuwa nakutania tu mkuu!!
Watoto wanavijitabia vyao utadhani ni watu wazima. Hilo litaisha tu. Ingekuwa analia mfululizo ningehisi labda hashibi maziwa ya mama yake.
 
Miezi minne unapiga vzr cha msingi mama na ww mkimaliza akikisheni mnaoga vzr kbs ndipo mnamshika mtoto kumbuka ndom au njia za uzazi wa mpango
 
Anza kucheza nae akiwa mikononi mwa mama ake itakua anakuona wewe ni stranger...tafuta urafiki na mwanao itafika sehemu atakupenda sana
 
Hiki ndo kilichobaki kwa sasa na ndo huwa naishia kucheza nae kwa style hiyo,ahsante
Anza kucheza nae akiwa mikononi mwa mama ake itakua anakuona wewe ni stranger...tafuta urafiki na mwanao itafika sehemu atakupenda sana
 
Hujui kukaa na mtoto ndo shida wana mikao yao ambayo wanatulia alafu we utaona ni utumwa kumbeba hivyo
 
Nikikosea kumbeba mama ake yuko makini huwa ananirekebisha so huwa nambeba kulingana na afanyavyo mama yake
Hujui kukaa na mtoto ndo shida wana mikao yao ambayo wanatulia alafu we utaona ni utumwa kumbeba hivyo
 
Ishawah tokea mara moja tu,but ilikua ni bahati mbaya sana cuz najitahid kuwa mwenye kujali kiukwel
Halafu kama ulikua unamzabua makofi mkeo kipindi cha ujauzito wake mtoto tambua kuwa mtoto alisikia
 
Ishawah tokea mara moja tu,but ilikua ni bahati mbaya sana cuz najitahid kuwa mwenye kujali kiukwel
Oohhhhhhhh my friend hiyo ndiyo sababu... Mtafutie zawadi mama na mtoto then omba msamaha piga hata goti be romantic wakati unampatia mkeo hiyo zawadi na hakikisha mtoto akuangalie wakati unatoa hiyo zawadi na awe shuhuda...
 
Okay, thanks kwa tip hii muhim
Oohhhhhhhh my friend hiyo ndiyo sababu... Mtafutie zawadi mama na mtoto then omba msamaha piga hata goti be romantic wakati unampatia mkeo hiyo zawadi na hakikisha mtoto akuangalie gani awe shuhuda
 
Mimi mtoto wangu huwa nikiondoka ananililia..mama yake akiondoka huwa hana habari ...anatulia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…