Mtoto wa Museveni: Kwa wanaojaribu kupigana na Uganda na Rwanda nawaonea huruma. Sisi ni watoto wa Mungu

Mtoto wa Museveni: Kwa wanaojaribu kupigana na Uganda na Rwanda nawaonea huruma. Sisi ni watoto wa Mungu

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Sawa ndugu, ili usimuingize Yesu Kristo kwenye mambo yenu ya kijinga.



Screenshot_20250130-082745.png
 
SADC wafanye attack & defense military drill ya nguvu, show of force,kwa pamoja kila mmoja aonyeshe vifaa vya kivita, waonyeshe cruise missiles, bunker buster bombs , air defense, waonyeshe ndege vita na uwezo wa jeshi la anga, waonyeshe readiness tayari kwa ajili ya mazungumzo au confrontation, tena wafanye mazoezi kwenye sehemu ya wazi au jangwa, watupe missiles live, kila mmoja alete elite units special forces jeshi la miguu waonyeshe uwezo live.

Baada ya show of force watoe powerful message kwa mseng3 yeyote anayeleta threat SADC atashughulikiwa ipasavyo, baada ya hapo watume elite units kuanzia angani, majini na ardhini karibu kabisa na mipaka ya Rwanda.

Halafu tuone huyo mseng3 atasema nini na ataamua nini, tena wapeleke kikosi cha kutosha na vifaa vya kuzidi.

Baada
 
Back
Top Bottom