Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Muendelezo ule ule wa wizi kwa mgongo wa Dini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikafanye nini Kampala?Nenda kampala ukaseme hayo uone 😂😂😂😂😂
Unajitutumua hapa na keystrokes zako. Shuka kule.
Mwenzako ni Jenerali.
Hili jamaa ni mdomo tuu na kiburi Cha baba yake lakini ukilipna linatembea ni lizembe kama hata mgambo halijawai kucheza
babaake mwenyewe mwaka huu hauishi kabla hatujaamua kama tunazika ama tunasafirisha , hii ndio inaitwa aliyeshiba hamjui..............
Kwani Museveni pia ni mtutsi?.Banyamulenge,ila watusi ni katili mno sema Habyarimana aliwaweza kule Rwanda kabla Kagame hajaja kumtungua.
Mtusi huyo.Kwani Museveni pia ni mtutsi?.
Siku hawa wazee (PK na M7) wakiondoka madarakani, eneo la maziwa makuu litatulia.
Mmh hawa mbona pua zao zinafanana?
Banyamulenge hao.Mmh hawa mbona pua zao zinafanana?
Huyu si kuna kipindi baba yake alikuwa na bifu na kagame hadi kufungiana mipaka.
hamna kitu, nilimshusha hadhi siku kina Magu walipomdukua...Kama hii nchi angekua Rais ni Bernard Camilius Membe, huyo Kagame saa Hz angekua ashasahaulika ,
Hahahaha, huko mie sipo ila Kaa ukijua angekua huyo Mzee pale juu, Kagame asingekuwepo pale Kigali muda huuhamna kitu, nilimshusha hadhi siku kina Magu walipomdukua...
Spy veteran mzima hujui kwamba Whatsapp is encrypted, huwezi kudukuliwa kwenye Whatsapp, hilo mzee alikuwa halijui, anatumia misimu hii ya Tigo Mixx hii... Angewezaje kumpiga PK ? Yeye, Kinana, Nape, Makamba wote walikuwa hawajui, wana enjoy vocha za bure za serikali kumbe ziko bugged to the teeth
Sasa tunaanzaje kumueliminate ebu tupe mbinu bwashee..Hawa si wa kucheka nao.Huyo Kagame ni wa kumueliminate tu.Wala si wa kunegotiate nae.Sema sijawahi ona watu vilaza kama wacongo.
Aah kumbeBanyamulenge hao.
Anakunywa bangi Mingi sanaHuyo kijana maandishi yake yana uwalakini, itamkosti akose kurithishwa kiti cha babake
Lazima hatuna za haraka zichukuliwe dhidi ya Hawa watuSasa tunaanzaje kumueliminate ebu tupe mbinu bwashee..