Mtoto wa Museveni: Kwa wanaojaribu kupigana na Uganda na Rwanda nawaonea huruma. Sisi ni watoto wa Mungu

Mtoto wa Museveni: Kwa wanaojaribu kupigana na Uganda na Rwanda nawaonea huruma. Sisi ni watoto wa Mungu

Nenda kampala ukaseme hayo uone 😂😂😂😂😂
Unajitutumua hapa na keystrokes zako. Shuka kule.

Mwenzako ni Jenerali.
Nikafanye nini Kampala?
Jenerali wa wapi huyo anaropoka hovyo tu.
Baba yake ni mtu mstahimilivu sana.
Niende Kampala nikauze ndizi?
 
Kama hii nchi angekua Rais ni Bernard Camilius Membe, huyo Kagame saa Hz angekua ashasahaulika ,
hamna kitu, nilimshusha hadhi siku kina Magu walipomdukua...

Spy veteran mzima hujui kwamba Whatsapp is encrypted, ukitumia Whatsapp huwezi kudukuliwa , hilo mzee alikuwa halijui, anatumia misimu hii ya Tigo Mixx hii... Angewezaje kumpiga PK ? Yeye, Kinana, Nape, Makamba wote walikuwa hawajui, wana enjoy vocha za bure za serikali kumbe ziko bugged to the teeth
 
hamna kitu, nilimshusha hadhi siku kina Magu walipomdukua...

Spy veteran mzima hujui kwamba Whatsapp is encrypted, huwezi kudukuliwa kwenye Whatsapp, hilo mzee alikuwa halijui, anatumia misimu hii ya Tigo Mixx hii... Angewezaje kumpiga PK ? Yeye, Kinana, Nape, Makamba wote walikuwa hawajui, wana enjoy vocha za bure za serikali kumbe ziko bugged to the teeth
Hahahaha, huko mie sipo ila Kaa ukijua angekua huyo Mzee pale juu, Kagame asingekuwepo pale Kigali muda huu
 
Hawa si wa kucheka nao.Huyo Kagame ni wa kumueliminate tu.Wala si wa kunegotiate nae.Sema sijawahi ona watu vilaza kama wacongo.
Sasa tunaanzaje kumueliminate ebu tupe mbinu bwashee..
 
Back
Top Bottom