Kama ipo ipo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,119
- 1,728
Huo ndio mpango wao wa kutengeneza Hima empire, M7 ni mtusi wa Uganda Kama alivyo naibu waziri mkuu wa nchi fulani
kweliKwani Museveni pia ni mtutsi?.
Siku hawa wazee (PK na M7) wakiondoka madarakani, eneo la maziwa makuu litatulia.
anakunywa kisungura!!!...ok.ok.ok...kuna vita kubwa inakuja afrika mashariki,,,naaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,,,,,jumuia ya afrika mashriki inakwenda kuvunjikaJenerali wa mchongo,sijawahi kuona jenerali pumbavu kama hili,majenerali,anaudhalilisha ujenerali
hapana ,museKwani Museveni pia ni mtutsi?.
Siku hawa wazee (PK na M7) wakiondoka madarakani, eneo la maziwa makuu litatulia.
hapana musen ni sio m2si ila kaoa mtusi,,janet ndugu yake na kakame ila natabiri kabla hawajafa wataona mait za watoto wao zikiwa na matundu ya risai!!Mtusi huyo.
Yale mambo ya israel ya taifa teule yameshaahamia huku tena
Banyankole na watutsi ndo hao hao hamna jipya hapoMmh hawa mbona pua zao zinafanana?
kuumbe hamna tabu🙏Nikafanye nini Kampala?
Jenerali wa wapi huyo anaropoka hovyo tu.
Baba yake ni mtu mstahimilivu sana.
Niende Kampala nikauze ndizi?
Huyu naye anaanza kupata uchizi. Kwani, wengine si watoto wa Mungu au ana maana ya mungu Marekani?