Mtoto wa mwaka mmoja na miezi nane kupata kinyesi cheusi

Hiyo ni dawa wala si tatizo pia hutokea hta ukimpa dawa hasa ya rangi nyekundu n.a. kuna dawa moja ya vitamin huwa Batavia hyo anatoa kinyesi cheusi mpka akee sawa
 
Kuna vitu 2 wanaita "side effects " na " adverse effects".
Side effects ni matokeo yasiyotarajiwa kutokana na matumizi ya dawa na huisha kwa muda mfupi kwa hiyo unaweza kuvumilia tu na adverse effects ni matokeo yasiyotarajiwa na huwa hayavumiliki mpaka pale utakapo punguza kiwango cha dawa au kuacha kabisa kutumia hiyo dawa.
Sasa kulingana na hivyo mim nakushaur urud kwa daktari kumweleza hali halisi
 
Shukrani sana, nimekuelewa vema jayec
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…