Darlis2016
Member
- Nov 3, 2016
- 81
- 26
- Thread starter
- #21
Nashukuru sana LuckDubeHook worm Infection,
(Ancylostomiasis),
Hizo ni dalili zote za ancylostomiasis,
Ndio maana kapungukiwa damu kidogo (microcytic hypochromic anaemis).
Anaminyoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru sana LuckDubeHook worm Infection,
(Ancylostomiasis),
Hizo ni dalili zote za ancylostomiasis,
Ndio maana kapungukiwa damu kidogo (microcytic hypochromic anaemis).
Anaminyoo
Shukrani sana, nimekuelewa vema jayecKuna vitu 2 wanaita "side effects " na " adverse effects".
Side effects ni matokeo yasiyotarajiwa kutokana na matumizi ya dawa na huisha kwa muda mfupi kwa hiyo unaweza kuvumilia tu na adverse effects ni matokeo yasiyotarajiwa na huwa hayavumiliki mpaka pale utakapo punguza kiwango cha dawa au kuacha kabisa kutumia hiyo dawa.
Sasa kulingana na hivyo mim nakushaur urud kwa daktari kumweleza hali halisi