Habari zenu,
Nina mtoto wa mwaka na miezi mitatu alichelewa kukaza shingo kwa sasa ndio anatambaa ila kwa makalio. Ila napatwa na wasiwasi ninapomsimamisha shingo yake anaitupa kwa nyuma. Nifanye nini ikae sawa?
Ila anapokaa anachezea vitu vizuri tu na kuvifata hata kujaribu kusimamia vitu.
Ninawasiwasi mnoo
Msaada.