siyo tatizo labda kama ana viashiria ambavyo siyo vizuri. Binti yangu alitembea na mwaka mmoja na miezi kama tisa hivi, alikuwa anawacheka sana wadogo zake wa miezi nane wanaotembea na yeye hata kuendesha gari la miguu mitatu alikuwa analiogopa, ni changamoto sana, unaweza pia kumwona daktari kama una wasiwasi sana.Wakuu habari za muda huu, nina rafiki angu ambaye ana mtoto wa kike ambaye sasa hivi anatimiza mwaka na miezi 7 hv takriban. Sasa mpaka leo huyo mtoto hajatembea kabisa. Shida itakuwa ni nini?
Alienda Muhimbili wakamuambia hilo tatizo halitibiki chakufanya waendelee kumfanyisha mazoezi.
Je kuna mwenye utaalam zaidi wa kushauri?
Asanteni.
Oooh kumbe.nikizaa tena nitampeleka.wa kwangu ametembea Na miezi Tisa.siku hizi anakimbia tu.Kawaida mtoto anapofikisha wiki sita anatakiwa aonwe na daktari wa watoto kwa review. Hapa kuna mengi hubainika kama kuna tatizo.
Muons daktari wa watoto upate ushauri.
Hatembei kivipi?Anatambaa?Anasimama?Ananyanyua miguu kidogo akishikwa?Anaweza kutembea na ukuta?Wakuu habari za muda huu, nina rafiki angu ambaye ana mtoto wa kike ambaye sasa hivi anatimiza mwaka na miezi 7 hv takriban. Sasa mpaka leo huyo mtoto hajatembea kabisa. Shida itakuwa ni nini?
Alienda Muhimbili wakamuambia hilo tatizo halitibiki chakufanya waendelee kumfanyisha mazoezi.
Je kuna mwenye utaalam zaidi wa kushauri?
Asanteni.
Huwenda sio tatizo mi bint yangu alitembea na miaka 2Wakuu habari za muda huu, nina rafiki angu ambaye ana mtoto wa kike ambaye sasa hivi anatimiza mwaka na miezi 7 hivi takribani sasa mpaka leo huyo mtoto hajatembea kabisa shida itakuwa ni nini alienda Muhimbili wakamuambia hilo tatizo halitibiki chakufanya waendelee kumfanyisha mazoezi.
Je kuna mwenye utaalam zaidi wa kushauri?
Asanteni.
[emoji16][emoji377][emoji377][emoji377]Pengine labda hana safari ya kwenda popote. Huwezi jua.[emoji18]
Shida ipo kwamba mpaka sasa hivi hajaweza kukaa mpaka kusimama, walienda CCBRT wao wanamuambia tu mazoezi kwa wingisiyo tatizo labda kama ana viashiria ambavyo siyo vizuri. Binti yangu alitembea na mwaka mmoja na miezi kama tisa hivi, alikuwa anawacheka sana wadogo zake wa miezi nane wanaotembea na yeye hata kuendesha gari la miguu mitatu alikuwa analiogopa, ni changamoto sana, unaweza pia kumwona daktari kama una wasiwasi sana.
Asante mkuu, alienda Muhimbili ndio wakamuambia tatizo lake halitibiki sanasana mazoezi, kabla ya hapo alishaenda CCBRT wanamchke kisha wanampa tarehe nyingine ya kwendaFika hospital kwanza mkuu kwa wataalamu wamcheki mtoto ili kama kuna tatizo liahiwe mapema kabla halijawa chronic.
All the best