Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
Kwani ushawahi zaa mpaka useme tena??!?!Oooh kumbe.nikizaa tena nitampeleka.wa kwangu ametembea Na miezi Tisa.siku hizi anakimbia tu.
Naomba unijibu haya maswali?
-Mama wakati anajifungua hakupata shida yoyote ya uzazi na mtoto alilia mapema au kunyonya mapema baada ya kuwa amezaliwa? Hakupata shida yeyote, mtoto alilia vizuri tu na alinyonya maziwa ya mama yake punde tu
-Mtoto amekomaa shingo na kukaa akiwa na umri gani? kwa mujibu wa jamaa ananiambia bado hajaweza kusimama wala kukaaa,
-Ameanza kutambaa?,kama anatambaa anatambaa kwa matako au miguu? nafikriri hata kutambaaa bado kama hajaweza kusimama wala kukaa.
-Ana kilo ngapi sasa? Roughly kilo kama 8 hivi
-Kwa jitihada za yeye kutembea ametafutiwa baby walker(kile kitoroli ambacho mtoto anaingia ndani ili atembee)? ana kibaiskeli sema ndo hvyo shida hawezi kukitumia
Pia jamaa ananiambia kipindi cha nyuma alishawahi kuugua ugonjwa wa Manjano nadhani ndio imeleta shida zote hizi.Wakuu habari za muda huu, nina rafiki angu ambaye ana mtoto wa kike ambaye sasa hivi anatimiza mwaka na miezi 7 hivi takribani sasa mpaka leo huyo mtoto hajatembea kabisa shida itakuwa ni nini alienda Muhimbili wakamuambia hilo tatizo halitibiki chakufanya waendelee kumfanyisha mazoezi.
Je kuna mwenye utaalam zaidi wa kushauri?
Asanteni.
Hapana huyu ni wa hali ya chini kabisaa kabisaa ni maskini kabisa, baba yake ana vibarua vya hapa na pale tu vya kumuingizia kipato, yaani hayupo kwenye ajira rasmi.kwa mujibu wa coments nyingi inaonesha huyo mwenye mtoto huenda akawa ndio wale wa maisha ya kizungu, mtoto mda wote anatembezwa kwenye kitoroli... mwambie huyo mzazi abadilike
Mbona umecheka hivo mkuu?[emoji18][emoji16][emoji377][emoji377][emoji377]
Mbona umecheka hivo mkuu?[emoji18]
Hahahahaha Huey si unajua akikerwa anavyokua, hapendagi ujinga. Ntaweka ya Grandad VERE SOON[emoji18]Punguza bange humtendei haki Huey. Labda uweke avatar ya Riley au Thugnificient
Miaka mingapi?Wa kwangu ana miaka na miezi miwili anasimama ila hatembeii je ni tatizoo?
Miaka mingapi?
Huyu mbona bado mkuu atatembea tuMwaka mmoja na miezi 2
Jaman wawahi hospital kuna shida .Imebidi nimuulize mshkaji wangu, aisee bado mpaka sasa hajaanza kukaa wala kusimama
Subiri atatembeaWa kwangu ana miaka na miezi miwili anasimama ila hatembeii je ni tatizoo?
DuuhHuyu mbona bado mkuu atatembea tu