Mtoto wa mwenye nyumba kanipenda

Mtoto wa mwenye nyumba kanipenda

Wadau nipeni ma mbinu hapa nilipoamia Kuna mtoto wa mwenye nyumba mmoja mkali kinoma cheupe Sana sasa kameanza kuniangalia angalia macho ya kunitamani.

Wakuu namtumia mbinu gani kukachakata.

Na je wadau kukwepa msala penzi lisije kujulikana kama mtoto akijaa nitumie ma mbinu gani.

Maana babaake ni noma sana akijua msala.
Bora umekuwa muwazi,
Napenda kukujulisha mpaka mwisho wa mwezi huu.
Kodi ya nyumba itakuwa 200,000 kutoka 120,000.
 
Wadau nipeni ma mbinu hapa nilipoamia Kuna mtoto wa mwenye nyumba mmoja mkali kinoma cheupe Sana sasa kameanza kuniangalia angalia macho ya kunitamani.

Wakuu namtumia mbinu gani kukachakata.

Na je wadau kukwepa msala penzi lisije kujulikana kama mtoto akijaa nitumie ma mbinu gani.

Maana babaake ni noma sana akijua msala
Au ndio PAULA haya ongea na rayvanny (chui) ndio anajua mikato yako
 
Kuna watoto humu mkuu
KUna siku nimwsoma humu, mtu anasema amemualika binti kwake. Anauliza akija afanyeje......

Nilichuma dhambi ya kutukana bila kuandika😀
 
Tafuta chumba kwanza sehemu ingine....mapenzi ya sehemu moja hayana siri....
 
Wadau nipeni ma mbinu hapa nilipoamia Kuna mtoto wa mwenye nyumba mmoja mkali kinoma cheupe Sana sasa kameanza kuniangalia angalia macho ya kunitamani.

Wakuu namtumia mbinu gani kukachakata.

Na je wadau kukwepa msala penzi lisije kujulikana kama mtoto akijaa nitumie ma mbinu gani.

Maana babaake ni noma sana akijua msala.
Vipi umefanikiwa kumla
 
Back
Top Bottom