Asante mkuu,nimekupata na tayar nimemuona daktari.
Usikute kanaona kana share mtindi na babake hivyo kameamua kuandamana kiaina?
kwa kweli dr.katucheka sana,katuambia mtoto hana tatizo lolote baada ya kumçkek isipokuwa uchanga wetu ndo tatizô maana ni mtoto wetu wa 1.katupa ushaur na kwa kwel mtoto ananyonya sasa
Tupeni juche na sisi yasije yakatutokea. Dokta aliwashauri nini?kwa kweli dr.katucheka sana,katuambia mtoto hana tatizo lolote baada ya kumçkek isipokuwa uchanga wetu ndo tatizô maana ni mtoto wetu wa 1.katupa ushaur na kwa kwel mtoto ananyonya sasa
Tupeni juche na sisi yasije yakatutokea. Dokta aliwashauri nini?