Mtoto wa mwez na wk 2 kukataa kunyonya

Mtoto wa mwez na wk 2 kukataa kunyonya

TODO

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2011
Posts
219
Reaction score
62
Nisaidieni wadau
Mtoto wangu hataki kunyonya analia tu

Nifanyeje ili mtoto anyonye kama kawa
 
Nakushauri umpeleke kwa daktari wa watoto (Paediatrician) ili aweze kumchunguza na kumpa tiba inayostahili!
 
Usikute kanaona kana share mtindi na babake hivyo kameamua kuandamana kiaina?
 
Watoto wengi siku hizi wanakua na njaa sana.

Angalia inaweza kuwa sababu.!
 
Vizuri sana! bila shaka mtoto amepata tiba stahili!

kwa kweli dr.katucheka sana,katuambia mtoto hana tatizo lolote baada ya kumçkek isipokuwa uchanga wetu ndo tatizô maana ni mtoto wetu wa 1.katupa ushaur na kwa kwel mtoto ananyonya sasa
 
kwa kweli dr.katucheka sana,katuambia mtoto hana tatizo lolote baada ya kumçkek isipokuwa uchanga wetu ndo tatizô maana ni mtoto wetu wa 1.katupa ushaur na kwa kwel mtoto ananyonya sasa

It happens...at some point we are all learning! Wishing you good parenting!
 
kwa kweli dr.katucheka sana,katuambia mtoto hana tatizo lolote baada ya kumçkek isipokuwa uchanga wetu ndo tatizô maana ni mtoto wetu wa 1.katupa ushaur na kwa kwel mtoto ananyonya sasa
Tupeni juche na sisi yasije yakatutokea. Dokta aliwashauri nini?
 
Back
Top Bottom