Edward Chapa
Member
- Jun 30, 2012
- 72
- 12
- Thread starter
-
- #21
mkuu pamoja na ushauri wa watu wengine, hiyo ni hali ya kawaida hasa kama hasumbui (hasa kujinyonganyonga sehemu za kiwiliwili) atapata tu choo! lakini ni vema kumuona specialist amtazamie kabisa, manake sisi wengi tuongea kwa experience tu!
Nasikia kuna mtu
ameniambia kuna dawa inaitwa mafuta ya samaki nimpatie, je kuna dawa
kama hiyo kwa mtoto wa 30 days naona kama ni hatari??
kuliko kumpa kitu chochote, mpeleke kwa specialist wa watoto akushauri cha kufanya, though ni kawaida kwa watoto wachanga kukosa choo ila siku 7 kama nyingi vile