Edward Chapa
Member
- Jun 30, 2012
- 72
- 12
- Thread starter
- #21
mkuu pamoja na ushauri wa watu wengine, hiyo ni hali ya kawaida hasa kama hasumbui (hasa kujinyonganyonga sehemu za kiwiliwili) atapata tu choo! lakini ni vema kumuona specialist amtazamie kabisa, manake sisi wengi tuongea kwa experience tu!
Huwa anatoa hewa tu ( fart ) mara kwa mara